Mtoto wa miezi tosa (9) mafichoni kule LAHORE Pakistan kwa sababu ana kesi ya kujibu. Mtoto huyo pichani ambaye hata hawezi kunyanyua chupa yake ya maziwa anadaiwa kushiriki kwenye jaribio la mauaji.Baby huyo anayeitwa Musa Khan sasa yuko mafichoni...
Hadithi ya kweli Tarehe 18 Novemba 2016Binti wa miaka 14 aliyefariki mwezi uliopita kule Uingereza kwa sababu ya saratani ashinda kesi.Akijua kuwa atakufa binti huyo mwenye matumaini makubwa ya kuishi alijikuta akihifadhiwa kwenye jokofu ili dawa siku moja ikipatikana arudi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA KESI MBILI; KUOMBA KUTENGULIWA KWA ZUIO LA JESHI LA POLISI NA BUNGE LIVE Taarifa inatolewa kwa umma  kuwa Baraza la Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Katibu Mkuu...
Mwanasheria nguli, Kibatala na wenzake wamefungua kesi mahakama kuu kuomba tafsiri ya kifungu cha 104 ya sheria za uchaguzi. Kesi hiyo itaanza kusikilizwa tar 21.10.2015Mimi katika pekua pekua yangu nimekutana na sheria ya uchaguzi, marekebisho CAP 343 ya June...
Elimu ndogo ninataka kushiriki nanyi ndugu zangu kupitia semina nikiwa kama mualikwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania ( TCRA ) mnamo tarehe 06 na 07/08/2015:NOTE: Sheria ya mitandao itaanza kufanya kazi mnamo tarehe 01/09/2015 kwa maana hiyo basi hukumu...
Nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa na mume wangu, kwa zaidi ya miaka 8 na hata sasa bado anaendelea, Kwani hata kuongea uongo kwenye media juu yangu ni ukatili pia. nimekuwa...
Rais Jakaya Kikwete tayari ameshasaini sheria yenye utata ya makosa ya mtandao na muda wowote kuanzia sasa itaanza kutumika rasmiWaziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, amesema hayo leo wakati akizungumzia masuala mbali mbali yanayohusu sheria...
Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa...
MAONI YA MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, MHESHIMIWA MOHAMED HABIB MNYAA (MB.) KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO YA MWAKA 2015, YAANI THE CYBERCRIMES ACT, 2015Mheshimiwa Spika, Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015, yaani,...
Kuhusu kumshtaki PM ni kweli draft petition chini ya BRADEA iko tayari kwa kwenda mahakamani by alhamis Mungu akipenda. Tutaitisha press conference.Hata hivyo tunapambana na kisiki kimoja cha kisheria nacho ni ibara ya 100(1) ijapokuwa ibara ya 100(2) inatupatia...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALITAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIOFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFUNGUA OFISI 23 KATIKA MIKOA MBALIMBALI KUFANIKISHA MPANGO WA UTENGANISHWAJI WA SHUGHULI ZA UPELELEZI NA UENDESHAJI WA MASHTAKA NCHINIUtangulizi Ofisi ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARILeo, Jumatatu, Oktoba 7, 2013, zimetungwa habari, zikaingizwa kwenye Mitandao ya Kijamii na kusambazwa sana zikidai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametia saini Muswada wa Sheria ya Marekebisho...
MAONI YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.) KUHUSU MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KWA MWAKA 2013/2014 (Kanuni ya 99(9) ya...
Mahakama ya kisutu jana ilirule out kesi na kuwatia hatiani wakurugenzi wanne kati ya watano wa kampuni ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) kwa kuwaadhibu kifungo cha miaka mitatu au faini ya jumla ya Shs milioni 21. Mmoja...
Mh. Mbunge wa Kigoma kaskazini, waziri kivuli wa fedha na mwenyeketi wa kamati ya bunge ya uwekezaji wa umma Zuberi Zitto Kabwe anakusudia kupeleka muswaada binafsi wa kufuta sheria kandamizi ya magazeti ya 1976.Sheria ya Magazeti (The Newspaper Act...
Mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya The Hague (ICC) Bensouda amemfutia mashitaka ya uhalifu dhidi ya binaadamu Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta. Baadhi ya Wakenya wanaituhumu serikali ya Kenya kwa kuficha ushahidi muhimu dhidi ya kesi hiyo. Pia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kiko katika harakati za kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, uliompa ushindi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zitto Kabwe.Zitto ambaye pia ni Mbuinge wa Kigoma Kaskazini, juzi...
Serikali za Rwanda, Uganda, Kenya na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, zimefunguliwa kesi katika Mahakama ya Afrika ya Mashariki, zikidaiwa kukiuka mkataba wa kuanzishwa kwa jumuiya hiyo.Hatua hiyo inatokana na Serikali hizo kufanya vikao vitatu mfululizo...
Katika mkutano na waandishi wa habari leo mchana, mkurugenzi mtendaji wa Mwananchi Communications Limited (MCL), Tido Mhando, ametangaza Mwananchi linarudi kwa kishido, likielekeza nguvu zake katika kuelimisha na kuhabarisha umma.
Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi ameburuzwa tena kortini kwa kuleta vurugu na kumjeruhi jicho askari wa bunge, Koplo Nikwisa Nkisu. Dodoma mwezi huu. Hata hivyo kuna utata mkubwa juu ya wabunge wanaoshtakiwa kuwa ni wale wa upinzania...