Makada Chadema Watoka Gerezani Henry Kilewo(aliyeshika kitabu) akiwa na wenzake; Evodius Justinian, Oscar Kaijage , Seif Kabuta na Rajab Daniel wakitoka mahakamani (Picha na Tumaini Makene) HATIMAYE makada watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaokabiliwa na shtaka la...
HOTUBA YA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, MHESHIMIWA MATHIAS M. CHIKAWE (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MPANGO NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2013/2014A.      UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa yangu niliyoiwasilisha kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na...
Kwa kuanza Ijumaa Anonymous waliiteka Tovuti ya Tume ya Sheria Marekani "US Sentencing Commission" na Kuondoka na Mafaili Muhimu na kudai watazisambaza kwenye public. Anonymous wanafanya hivyo kupinga mwenzao anayeitwa Swartz kujiua baada ya kukabiliwa na hukumu ambayo wao Anonymous wanadai wamemlazimisha kucheza mchezo ambao ulikuwa wazi asingeweza kushinda.
Kumb. Na. AE/164/334/Vol.II/2 20 JULAI, 2012Makamu wa Rais, Corporate AffairsBarrick GoldS.L.P 1081Dar-es-SalaamUFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII.Ufuatao ni ufafanuzi mfupi kuhusu marekebisho ya Sheria za Mifuko hasa...
Aliyemteka, kumtesa na kumuumiza viabaya Dk. Ulimboka Akamatwa na Polisi. Taarifa ya kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam Kova kwa vyombo vya habari zimedai kuwa RAIA wa Kenya, Joshua Gitu Mulundi (31) amekamatwa na polisi jijini Dar...
Aliyekuwa rais wa Misri kwa miongo mitatu mfululizo (miaka 30) Hosni Mubarak amekutwa na makosa ya kuamuru raia kuuawa na hivyo kuhukumiwa kifungo cha maisha jela. Taarifa iliyotufikia kutoka Televishen ya Taifa ya MisriBaadhi ya wamisri walionekana wakisheherekea...
Kwa taarifa tulizozipokea hivi punde kutoka mahakamani, zinaeleza kuwa Mh. Mbunge wa Ubungo, John Mnyika Ashinda Kesi ya uchaguzi wa mwaka 2010 iliyokuwa inamkabili ambayo alishitakiwa nayo na mlalamikaji Hawa Nghumbi (CCM). Mlalamikaji alimfungulia mashitaka John Mnyika kwa; 1)Kumtuhumu...
Nchi inayoongoza kwa kunyonga duniani ni China ambayo tu mwaka jana 2009 ilinyonga zaidi ya watu 470.Nchin zingine hizi hapa chini Nchi na idadi ya vifo vya kunyongwa China: 470 Iran: 317 Saudi Arabia: 143 Pakistan: 135 Congo,...