Badili fikra na mawazo yako kutoka analogia(CHADEMA) na kuhamia digital(CCM) ole wako uking'ang'ania analogia,utakufa bila haki yako kuiona.tuma ujumbe huu kwa watu 10 wambie ndiyo tunakuja.Tumeanza na tutafanya kweli mpaka kieleweke 2015.Hivi kati ya CHADEMA na CCM nani analogia...
Je wajua hii misemo ya wabunge bungeni?Wabunge wa bunge la Tanzania kwa nyakati tofauti ndani na nje ya bunge wamekuwa wakitoa misemo mbalimbali na ya ajabu yenye kujenga, kubomoa na kuchekesha kila mtu aliyesikia, ona kwa macho au kupitia...
Nyumba atakayoishi Barak Obama na Familia Yake Baada ya Muda wa Urais KuishaNyumba ambayo Rais wa sasa wa Marekani Barak Obama na mke wake na watoto wataishi baada ya kuondoka ikulu (White House). Nyumba ina vyumba 9 na iko ndani...
Rais wa Colombia Juan Manuel Santos, amepewa Nishani ya Amani ya NOBEL  iitwayo   NOBEL PEACE PRIZE kwa mwaka huu wa 2016.Hii ni baada ya kukazania na kufanikiwa kutiwa kwa saini ya mapatano kusitisha viata vya wenyewe kwa wenyewe...
Marekani safari hii itabidi waombe uzoefu kutoka serikali ya Bongo kwani wanaharakati wa msimamo mkali wa LEFTISTS wakiwa na ufadhili mkubwa wanaadaa mgomo mkubwa wakati wa kumuapisha Trump tarehe 20, Januari 2017. Vyanzo vya habari zinadai kuwa mitandao ya...
KWA UFUPI - Mbunge wa Bukoba Wilfred Lwakatare ni Mgonjwa - Alilazwa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kabla ya kuhamishiwa Hindu Mandal - Mama Tibaijuka amefanya jitihada kubwa kuhakikisha Lwaka anapata matibabu sahihi - CHADEMA hawataki taarifa za ugonjwa wake zijulikane kutokana na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMtakumbuka ni muda sasa sijaonekana wala kusikika katika harakati za kisiasa. Leo nimependa kuweka bayana ili umma wa watanzania ufahamu kwani kumekuwa na upotoshwaji mkubwa juu ya ukimya wangu.Napenda umma wa watanzania ufahamu yafuatayo:-1. Msimamo...
Wazili Mkuu ALIYEJIUZULU kwa kashfa, Edward Lowasa ambaye mwaka jana alijiengua kutoka CCM na kuhamia CHADEMA, anatajariwa kukihama nacho na kuingia chama kingine wakati wowote kuanzia sasa.Tayari Lowasa amemtanguliza mmoja kati ya "maswahiba" wake wakubwa wa kisiasa, Goodluck Ole...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA KESI MBILI; KUOMBA KUTENGULIWA KWA ZUIO LA JESHI LA POLISI NA BUNGE LIVE Taarifa inatolewa kwa umma  kuwa Baraza la Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Katibu Mkuu...
Jiji la Arusha laanza kuhoji uhalali wa mali za chama hicho Siri zafichuka kuhusu umiliki Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Ulijengwa kwa nguvu za wananchi na serikali Umiliki wake ulikuwa chini ya Arusha Town Council kabla ya 1996WAKATI...
Hatimaye baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar umefanyika jana na kumpata mshindi ambaye sio mwingine bali Diwani wa kata ya Vijibweni, Temeke kupitia Chama cha Demikrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe. Isaya...
13 ni wapya 12 waachwa 7 wabakizwa 5 wahamishwa 1 apangiwa mkoa mpya wa SongweRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. DK. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa 26 ya Tanzania Bara ambapo kati yao 13 ni wapya, 12...
DK. Vincent Mashinji ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kupitishwa na Baraza Kuu la Chadema, katika kikao chake kilichokaa jijini Mwanza, anaandika Mwandishi Wetu.Katika Kikao hicho cha Baraza Kuu, Freeman Mbowe alitangaza...
Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF limekutana leo na kutoa msimamo wake kuhusu tangazo la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kuhusu kurudiwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar tarehe 20 Machi 2016, kuwa chama...
Mkurugenzi mkuu wa NIDA (Vitambulisho vya Taifa) Bw Mwaimu amesimamishwa kazi kuanzia sasa. Sefue amesema yeye na vigogo wengine watatu wa NIDA wameaimamishwa kazi mara moja.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ametengua...
Rais Magufuli amemfukuza kazi Katibu Tawala mkoa wa Katavi Madeni Kipande kwa kushindwa kazi na Rais kutokuridhishwa na utendaji kazi wake.Utenguzi huo wa KIPANDE umefanyika kabla hajathibitishwa kwenye cheo cha Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi kutokana na utendaji...
Rais Magufuli ameamuru kurudi haraka nyumbani mabalozi hawa Dr Batilda Buriani, Dr James Nsekela wa Italia na Peter Kalaghe wa Uingereza. Akitangaza hatua hiyo, Katibu mkuu kiongozi Ombeni sefue amesema Batilda na mabalozi wengine watano wamekuwa hawafanyi kazi kikamilifu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ameteua mawaziri na naibu waziri wa wizara zilizobaki bila ya mawaziri kufuatia uteuzi wa awali alioufanya wiki chache zilizopita.Mawaziri na naibu waziri walioteuliwa ni kama ifuatavyo;Profesa Jumanne Maghembe...
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta kesi ya madai ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubungo.Kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Didas Masaburi dhidi ya mbunge...
Wananchi wa Rwanda wamepiga kura ya kubadilisha katiba ili kumruhusu Rais wa sasa, Paul Kagame kugombea tena mpaka mwaka 2034. Kagame amekubaliwa na Wanyarwanda kwa asilimia 98 hii ikiwa ni pamoja na wale wanaoishi nchi za nje. Hii ina...