Wana Jf,Imethibitika kwamba technology ya mawasiliano hivi sasa imekua kwa kasi ya ajabu sana, kiasi chakufikia kuwa kumbe siyo lazima tutegemee camera za waandishi wa habari kuchukua matukio.Ni kwamba chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwenye mkutano wake wa...
 Mmoja wao ni kiongozi mwenye asili ya kisomali, aliyekuwa msimamizi wa moja ya vituo vya kupigia kura. Kabainisha kuwa kama msimamizi mkuu na wakala wa chama chake kwenye zoezi la kupiga kura za udiwani, aliye apishwa na tume wajibu wake...
Mh John Mnyika akiwa Mahakamani kuwasubiri wabunge wenzake aliongea na vyombo vya habari na kutoa tamko hasa kuhusiana na usalama wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali mbalimbali Arusha na mazishi ya kiongozi wa chama Judith MushiAkiongea na waandishi wa habari,...
MWENYEKITI wa CHADEMA Freeman Mbowe, amevituhumu vyombo vya dola kuwa vinawafahamu watu walioshiriki kwenye mlipuko wa bomu uliotokea juzi katika viwanja vya Soweto kwenye mkutano wa chama hicho. Mbowe, alisema tukio hilo ni la kupangwa na wamegundua risasi za bunduki aina...
Bomu la kurushwa lililokuwa kwenye mfuko wa plastiki limelipuka katika mkutano wa CHADEMA katika viwanja vya Soweto, Kaloleni Arusha na kuua watu wawili akiwemo mtoto. Idadi ya waliofariki mpaka sasa ni Katibu wa Baraza la Wanawake (Bawacha) wa Chadema,...
Mei 19, 2013 Chama Cha Mapinduzi kilifanya kikao cha siku moja na wabunge wanaotokana na CCM, kikao hicho kilifanyika mjini Dodoma ambapo pamoja na viongozi wengine wa juu wa CCM kikao hicho kilihudhuriwa pia na Mwenyekiti wa CCM Rais...
Orodha hii inaonyesha watu matajiri 25 Afrika ikiwa ni pamoja na wanasiasa 7. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Equatorial Guinea mwenye kuhodhi bilioni 65 dola za kimarekani anashika nafasi ya kwanza huku Marehemu Muammar Gaddafi wa Libya mwenye kumiliki...
TAMKO LA CHADEMA KUHUSU NJAMA ZA KUKICHAFUA ZINAZOFANYWA NA GENGE LA VIONGOZI WAKUU WA CCM NA VYOMBO VYA DOLA, LIMETOLEWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO, MACHI 14, 2013 NA MJUMBE WA KAMATI KUU NA MWANASHERIA WA CHAMA, MH. MABERE...
Aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza Magareth Tatcher ambaye pia aliitwa "Mwanamke wa chuma" kwa misimamo yake dhabiti ambaye pia ni mwanamke wa kwanza kuwa waziri mkuu wa Uingereza amefariki leo mchana katika Umri wa miaka 87.Watoto wake wamedai mama...
SIKU moja baada ya Mkurugenzi wa Mambo ya Katiba wa CHADEMA, Tundu Lissu kufichua njama zinazofanywa ili kutengeneza ushahidi wa uongo kwa ajili ya kuutumia katika kesi ya ugaidi inayomkabili Wilfred Lwakatare, baadhi ya wahusika wameanza kuvurugana.Kwa mujibu wa...
Nape adai anazo taarifa kuwa CHADEMA inatumiwa na baadhi ya mafisadi kumchafua Mwakyembe kupitia Jitegemee kwa lengo la kujitengenezea njia ya Urais 2015.
CHADEMA imeibua ufisadi mkubwa unaofanywa na CCM kupitia waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe kwa kuipa zabuni yenye dhamani ya Shs bilioni 10 Kampuni ya CCM iitwayo Jitegemee Trading Company Ltd.
King Peggy wa Otuam mwenye kudhamiria kuwajenga uwezo wanawake wa mji wa Otuam nchini Ghana kwa Elimu na Uchumi. Nafikiri yeye anakuwa mwanamke wa kwanza kufanywa Mfalme duniani!!! kama yuko mwingine mtanifungua
Ripoti ya Ukatili wa Serikali ya Kikwete  inayofanywa na Jeshi la Polisi imefikishwa mbele ya Kamati ya Bunge la Marekani. Ripoti hii inaweza ikawa ndio mwisho wa matembezi ya Rais Kikwete kule Marekani na Ulaya??. Ripoti yenyewe imeambatanishwa hapahttp://www.youtube.com/v/8EdZ1koyvDg&rel=0&fs=1 The...
Kilichosababisha Godbless Lema kushinda kesi ya Ubunge wa jimbo la Arusha mjini ni hii hapa chini: Kimsingi hakimu aliamua kwa kuangalia zaidi swala la "Locus Stand" ya kama waliofungua kesi walikuwa na haki kisheria ya kufanya hivyo. Baada ya kuangaliwa...
http://www.youtube.com/v/zoIHaDbRpk0&rel=0&fs=1Wananchi wa Misri pamoja na maandamanao makubwa ya kupinga hiyo kura ya maoni bila kupenda Jana Jumamosi wameingia kuipigia kura katiba yenye utata mkubwa na iliyowagawa kisawasawa wamisri.Swali ni rahisiNdiyo HapanaKatiba hiyo inapingwa na waislamu wenye msimamo wa kati na...
Kufuatia agizo la kujiongezea madaraka iliyotolewa na rais wa Misri  ambayo inaondoa uwezo wa kuhojiwa juu ya maamuzi yake na taasisi yeyote nchini Misri milipuko ya maandamano yameripotiwa maeneo mbalimbali nchini Misri. Mahakimu wamesema hii ni mashambulizi kwa majaji...
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=aOL7wzEIZSc] President Barack Obama, first lady Michelle Obama, Vice President Joe Biden and Jill Biden acknowledge the crowd at his election night party Wednesday, Nov. 7, 2012, in Chicago. President Obama defeated Republican challenger former Massachusetts Gov. Mitt Romney....
"inawezekana, timiza wajibu wako" Mwl JK Nyerere."Ikulu ni mahali patakatifu, anaye kimbilia ikulu niwa kuogopwa kama ukoma" Mwl JK Nyerere."Ccm sio mama yangu" Mwl JK Nyerere."Niliamua waziri achapwe viboko kwa rushwa akitoka amsimlie mkewe". Mwl JK Nyerere."Mtanzania wa leo...
Imeandikwa na Happiness Mtweve | Tanzania Daima | 26, Sept 2012HATIMAYE Panga la Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, limewashukia vigogo wa chama hicho na kuwatupa nje ya kinyang’anyiro cha kuwania nafasi za uongozi wa jumuiya...