Siasa na uongozi

Siasa na uongozi

"inawezekana, timiza wajibu wako" Mwl JK Nyerere."Ikulu ni mahali patakatifu, anaye kimbilia ikulu niwa kuogopwa kama ukoma" Mwl JK Nyerere."Ccm sio mama yangu" Mwl JK Nyerere."Niliamua waziri achapwe viboko kwa rushwa akitoka amsimlie mkewe". Mwl JK Nyerere."Mtanzania wa leo...
Je wajua hii misemo ya wabunge bungeni?Wabunge wa bunge la Tanzania kwa nyakati tofauti ndani na nje ya bunge wamekuwa wakitoa misemo mbalimbali na ya ajabu yenye kujenga, kubomoa na kuchekesha kila mtu aliyesikia, ona kwa macho au kupitia...
Badili fikra na mawazo yako kutoka analogia(CHADEMA) na kuhamia digital(CCM) ole wako uking'ang'ania analogia,utakufa bila haki yako kuiona.tuma ujumbe huu kwa watu 10 wambie ndiyo tunakuja.Tumeanza na tutafanya kweli mpaka kieleweke 2015.Hivi kati ya CHADEMA na CCM nani analogia...
Mei 19, 2013 Chama Cha Mapinduzi kilifanya kikao cha siku moja na wabunge wanaotokana na CCM, kikao hicho kilifanyika mjini Dodoma ambapo pamoja na viongozi wengine wa juu wa CCM kikao hicho kilihudhuriwa pia na Mwenyekiti wa CCM Rais...
Rais aliyekaa kwa muda mrefu kuliko wote ni rais Omar Bongo wa Gabon. Africa ndiye rais aliyetawala kwa muda mrefu kuliko wote duniani. Yey alijiita “rais wa maisha wa Gabon”. Omar Bongo alitawala Gabon kwa miaka 42 tangu Novemba...
Imeandikwa na Happiness Mtweve | Tanzania Daima | 26, Sept 2012HATIMAYE Panga la Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, limewashukia vigogo wa chama hicho na kuwatupa nje ya kinyang’anyiro cha kuwania nafasi za uongozi wa jumuiya...
Kwa taarifa tulizozipokea hivi punde kutoka mahakamani, zinaeleza kuwa Mh. Mbunge wa Ubungo, John Mnyika Ashinda Kesi ya uchaguzi wa mwaka 2010 iliyokuwa inamkabili ambayo alishitakiwa nayo na mlalamikaji Hawa Nghumbi (CCM). Mlalamikaji alimfungulia mashitaka John Mnyika kwa; 1)Kumtuhumu...
Ndugu Wanahabari, NILIPOKUWA katika ziara ya bara la Ulaya kati ya Oktoba 21 mpaka Novemba 2 mwaka huu (2013), nilipokea kwa njia ya barua pepe ripoti inayoitwa “Taarifa ya Siri ya Chadema” ambayo pia ilikuwa imesambazwa katika mitandao mbalimbali ya...
Je wajua kuwa nchi ya Sudani ya Kusini itakuwa nchi ya kwanza mpya duniani kwa mwaka 2011? Hayo yatatimia baada ya wasudani 98.8% raia wa Sudan ya Kusini walioko ndani na nje ya Sudani ya kusini kupigia ndiyo kwa...
Kwa ufupi ziara hii imelenga masuala makubwa mawili ya kidiplomasiaKuimarisha masuala ya demokrasia Kuimarisha mahusiano ya kiuchumiBarack Obama atakaa siku mbili kati ya tarehe 1 na 2 Julai 2013 na kufanya Tanzania kutembelewa na marais wawili wa Marekani na wote...
Pamoja na kampeni chafu za kuzuia mikutano kwaKutumia polisi kuzuia baadhi ya mikutano halali za kampeni ya CHADEMA Kulipua mabomu kwenye baadhi ya mikutano za kampeni ya CHADEMA Kuwatumia viongozi wa mila kuifitinisha CHADEMA na wapiga kura wa Arusha, kuwakamata baadhi...
Rais aliyekaa madarakani kwa muda mrefu ni rais wa Libya hayati Col. Muammar Gaddafi, Africa. Amekaa madarakani kuanzia mwaka 1969 mpaka2011. alipouawa tarehe 20 October 2011 katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa takriban mwaka mmoja Dec 2010...
Exclusive video; video nzima ya mkutano wa chadema ulioshambuliwa kwa bomu la kutupa kwa mkono, risasi pamoja na mabomu ya machozi. Muda ni 01:31:18. Tunaomba radhi kwa picha za kutisha na matukio ambayo si mazuri yatakayo onekana. • baada ya...
Je Wajua kwamba ROSTAM AZIZ Ajivua gamba CCM kupitia hotuba yake aliyoitoa mbele ya wazee na wanachama wa CCM Igunga. Fuatilia hotuba yenyewe hapa chini: UTANGULIZIWAZEE wangu, kwanza kabisa kabla ya kueleza kile ambacho kimenisukuma kuzungumza nanyi leo, napenda...
King Peggy wa Otuam mwenye kudhamiria kuwajenga uwezo wanawake wa mji wa Otuam nchini Ghana kwa Elimu na Uchumi. Nafikiri yeye anakuwa mwanamke wa kwanza kufanywa Mfalme duniani!!! kama yuko mwingine mtanifungua
Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF limekutana leo na kutoa msimamo wake kuhusu tangazo la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kuhusu kurudiwa kwa Uchaguzi wa Zanzibar tarehe 20 Machi 2016, kuwa chama...
Serikali iweke nguvu katika vipengele vichache na vya msingi kama ajira, afya, elimu na miundombinuAliwapongeza mawaziri John Magufuli kwa kuimarisha barabara na Dk. Harrison Mwakyembe kwa kubuni mbinu za kupunguza foleni jijini Dar es Salaam, alizosema zinachangia kuharibu uchumi...
Na. Mtatiro J,Naunga mkono asilimia 100 uamuzi wa KUFUTA SAFARI ZA NJE YA NCHI hadi kuwepo Kibali cha Rais au Katibu Mkuu Kiongozi.Hata kama bado pana mvutano wa ndani kati ya UKAWA na CCM juu ya ushindi na Urais...
Marekani safari hii itabidi waombe uzoefu kutoka serikali ya Bongo kwani wanaharakati wa msimamo mkali wa LEFTISTS wakiwa na ufadhili mkubwa wanaadaa mgomo mkubwa wakati wa kumuapisha Trump tarehe 20, Januari 2017. Vyanzo vya habari zinadai kuwa mitandao ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBAUTANGULIZI 1. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura, 83 (The Constitutional Review Act, Cap 83)....