1. "Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo." *Napoleon_Bonaparte.*2. "Lengo la kwanza la vita sio kufa kwa ajili ya nchi yako, hapana. Bali ni kuua mtu mwingine kwa ajili...
Acacia nasikia wamefungua kesi mahakama ya biashara ya kimataifa wakitaka makontena yakaguliwe na wakaguzi wasioegemea upande wowote, hiyo ni sawa ila serikali iwe makini hapo.Lakini tusiandikie mate, kontena bado ziko na nafikiri chini ya ulinzi wa serikali. Zikaguliwe hata...
Hadithi ya kweli Tarehe 18 Novemba 2016Binti wa miaka 14 aliyefariki mwezi uliopita kule Uingereza kwa sababu ya saratani ashinda kesi.Akijua kuwa atakufa binti huyo mwenye matumaini makubwa ya kuishi alijikuta akihifadhiwa kwenye jokofu ili dawa siku moja ikipatikana arudi...
Mamlaka ya mapato Tanzania inadaiwa kuifungia Radio Free Africa ya Mwanza inayomilikiwa na Antony Dialo kutokana na kudaiwa kodi kubwa.TRA wamewaondoa studio wafanyakazi wote na kuifunga radio hiyo. Kwa sasa ukiwasha radio utasikia matangazo ya kiingereza ya BBC.Diallo ni...
Je wewe unajua maana ya jina lako? Je wewe una mtoto ambaye umempa moja ya majina usiyojua maana yake? Je wewe ni mzazi mtarajiwa na unapata shida kumpa motto wako jina?Ushauri wa bure, tafuta maana ya jina kabla hujampa...
Acacia wishes this were true – but sadly it is not the case that our mines each produce more than 1.5 million ounces of gold per yearLast year together they produced 450,000 ouncesAcacia’s verified data shows that the 277...
The results imply Acacia producers more just three mines than companies like AngloGold Ashanti produce from 19 mines, Goldcorp from 11 mines, and Kinross from their 9 mines If the Committee finding...
Acacia Mining plc refutes the allegation of the Osoro Committee announced on 12 June 2017 that Acacia Mining plc is conducting business in Tanzania illegally.  In March 2010, Acacia Mining plc, which is a UK-incorporated company, obtained a certificate...
?Rais John Pombe Magufuli amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kujitathmini kama anastahili kuendelea katika nafasi yake ya uwaziri baada ya kushindwa kusimamia suala la mchanga wa dhahabu unaosafirishwa kwenye makontena kwenda China kupimwa.Hii imekuja baada...
Timu ya Taifa la Tanzania ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17 inayoshiriki mashindano ya kombe la Afrika (AFCON U17 2017) huko nchini Gabon imepata ushindi wake wa kwanza dhidi ya Angola. Wakicheza kwa kujiamini zaidi na kushambulia...
?Ajali mbaya ya gari imetokea kule Karatu, Arusha kwa kuhusisha basi dogo aina ya Costa inayomilikiwa na shule ya Lucky Vincent iliyoko KwaMrombo, kusini mwa jiji la Arusha. Basi hilo limetumbukia katika mto Marera ulioko katika mlima Rhotia, Karatu jana...
BREAKING NEWS: The Shame List of Tanzania Civil Servants with Fake Certificates - 9,932 Fired -----------------------------------------------------------------------------------THE OFFICE OF PRESIDENT CIVIL SERVANTS MANAGEMENT AND GOOD GOVERNANCE----------------------------------------------------------------------------------------After the previous President John Pombe Magufuli coments proposing the release of names of the deemed...
BREAKING NEWS: Orodha ya Watumishi Feki 9,932 Hii HapaOFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA Orodha ya Watumishi wa Umma wa wenye vyeti vya kughushi Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John...
OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA Orodha ya Watumishi wa Umma wa wenye vyeti vya kughushi Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kusema majina ya watumishi wenye vyeti...
OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA Orodha ya Watumishi wa Umma wa wenye vyeti vya kughushi Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kusema majina ya watumishi wenye vyeti...
Ile kamati iliyoundwa na Nape Nnauye ya masaa 24 inawasilishwa leo, baada ya kuzungumza historia ya tatizo, msemaji anasema wamejaribu juhudi zote za kumpata mkuu wa mkoa wa Dar ikiwemo kumpigia simu na kumpelekea taarifa ofisi.Kamati imesema waliitwa ofisi...
?TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HATUA YA SERIKALI KUPELEKA MADAKTARI NCHINI KENYAChama cha Madaktari Tanzania (MAT) ni chama cha kitaaluma cha Madaktari wa binadamu kilichoanzishwa mwaka 1965 kwa madhumuni ya kuendeleza na kuwalea wanataaluma kimaadili na ueledi wa kitaaluma na...
Baada ya RC wa Dar es salaam kuilazimisha Clouds FM kumrekodi na kurusha hewani mwanamke anayedaiwa kuzaa na Askofu Dkt Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo, radio hiyo imekataa kurusha taarifa hiyo baada ya Makonda kukataa  taarifa ya upande...
Fainali za mwaka huu wa 2016/17 itazikutanisha mabingwa wa mwaka jana Real Madrid ya Uhispania na Bayern Munich ya Ujerumani. Pia itawakutanisha mabingwa wa mwaka juzi Barcelona pia ya Uhispania na Juventus ya Italia. Mwabingwa wa mwaka jana wa...
2014, 2016 na mwaka huu Laliga imeendelea kutamalaki UEFA ChampionshipLaliga Barcelona wamewaondoa PSG Real Madrid wamewaondoa Napoli Atletico de madrid wamewaondoa Bayer LevakusenBundesliga Bayern Munich wamewaondoa Arsenal Dotmund wamewaondoa BenficaEPL Leicester City wamewaondoa SevillaSerie A Juventus wamewaondoa PortalFrance Ligue...