Msichana wa miaka 25 ametangazwa kuwa chifu wa mji mmoja Argungu kazkazini magharibi mwa Nigeria, ikiwa ni mara ya kwanza wanamke kushika wadha huo. ...Soma zaidi
Meneja wa Chelsea Antonio Conte anasema anahitaji mda kuimarisha timu yake Chelsea kucheza anavyotaka yeye ili ipate matokeo bora, Je mashabiki watamuelewa? ...Soma zaidi
Mamia ya waandamanaji wamekusanyika kwa usiku wa tatu mfululizo, kufuatia kuuawa kwa mtu mweusi akiwa mikononi mwa polisi. ...Soma zaidi
Jeshi la Syria limetangaza kuwepo kwa mapigano mapya makali, kutaka kurudisha eneo linalodhibitiwa na waasi huko Aleppo, ...Soma zaidi
Mwandishi mmoja wa mjini mjini New Orleans alikimbia na kuingia ndani ya nyumba yake iliyokuwa inateketea, kuokoa laptop yake iliyokuwa na vitabu vyake viwili vya riwaya. ...Soma zaidi
Utafiti kutoka uswizi unasema watu wanaokunywa bia kwa wastani wa furaha zaidi ...Soma zaidi
Gavana wa New York, athibitisha bomu lililolipuka usiku wa Jumamosi mjini New York ni Ugaidi. ...Soma zaidi
Mlipuaji wa kujitolea muhanga katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu amemuaa kamanda mmoja wa jeshi pamoja na walinzi wake sita. ...Soma zaidi
Manchester United imeshindwa kwa mara ya 3 mfululizo baada ya mabao ya mda wa lala salama kutoka kwa Juan Zuniga,Troy Deeney kuipatia ushindi Watford . ...Soma zaidi
Marekani imesema inasikitika juu ya shambulio lililoongozwa na ndege zake za kivita ambapo, bila kukusudia zililipua kambi za wanajeshi wa Syria. ...Soma zaidi
Mlipuko umetokea jijini New York, katika eneo la Chelsea, Wilaya ya Manhatan ambapo watu 29 wamejeruhiwa. ...Soma zaidi
Kundi la wanamgambo la Al Shabab limeondoka kutoka mji ulio Kusini Magharibi mwa Somalia ambao liliuteka baada ya mapigano makali siku ya Ijumaa. ...Soma zaidi
Jeshi la Nigeria linasema wanajeshi wake pamoja na wale kutoka Chad, wamewauwa wapiganaji 38 wa Boko Haram, kusini mashariki mwa Niger. ...Soma zaidi
Amri ya kutotoka nje imetolewa katika jimbo lote la Kashmir linalotawaliwa na India, baada ya maiti ya mvulana wa shule kupatikana katika barabara kuu ya mji wa Srinagar. ...Soma zaidi
Rais Putin wa Urussi amewakashifu wale anaowaita vikosi vinavyopinga utawala wa rais Assad kwamba wanajikusanya upya tangu ufanyike usitishwaji mapigano . ...Soma zaidi
Serikali ya Zimbabwe imewaonya waandamanaji ikiwataka wazishiriki maandamano kwenye mji mkuu Harare. ...Soma zaidi
Polisi nchini Ujerumani wamedumisha usalama wakati inapo anza tamasha kubwa ya bia duniani inayofahamika kama Oktoberfest . ...Soma zaidi
Mdau wa Kiswahili Abdulatif Omar, ambaye ni mkazi wa mjini Tanga, ni mmoja wa watu waliojitolea kusaidia kuokoa tamaduni za Kiswahili ambazo zinakabiliwa na hatari ya kupotea. ...Soma zaidi
Umoja wa Mataifa unasema kuwa idadi ya watu waliokimbia nchi ya Sudan Kusini kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo imepita watu milioni moja. ...Soma zaidi
Magari 13 ya mizigo yanayotoka Tanzania na Kenya yamechomwa moto ...Soma zaidi