Mamlaka katika mji wa pwani ya Kenya, Mombasa imepiga marufuku harusi za usiku kutokana na sababu za kiusalama. ...Soma zaidi
Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Republican Donald Trump ameifanyia mabadiliko timu yake ya kampeni kwa mara ya pili katika kipindi cha miezi miwili ...Soma zaidi
Trump atetea Polisi kuhusu mauaji ya Milwaukee kuwa yalistahili ...Soma zaidi
Wakazi wa Mji wa Mogadishu nchini Somalia walalamikia gharama wanazotozwa ili kupata vitambulisho vilivyotolewa na Serikali ...Soma zaidi
Shirika la madaktari wasiokuwa na mipaka MSF limeelezea visa vingi vya ubakaji katika eneo la migodi ya dhahabu Nyeupe nchini Afrika Kusini. ...Soma zaidi
Urusi imeanza kutumia kituo cha wanajeshi wake kilicho nchini Iran, kufanya mashambulizi ya mabomudhidi ya wanamgambo wa kiislamu nchini Syria. ...Soma zaidi
Virusi vinatajwa kuwa hatari zaidi wakati vinavamia mwili wa mwanadamu saa za asubuhi, kwa mujibu wa utafiti wa chuo cha Cambridge. ...Soma zaidi
Mwanariadha wa Kenya David Rudisha amedhihirisha kuwa ni mwamba wa mbio za mita 800 baada ya kushinda mbio hizo na kunyakua medali ya dhahabu huko Rio De Jeneiro ...Soma zaidi
Mchezaji wa Judo kutoka Misri amerudishwa nyumbani kutoka michezo ya Olimpiki baada ya kukataa kusalimiana mpinzani wake wa Israel ...Soma zaidi
Mwanariadha wa Kenya David Rudisha amedhihirisha kuwa ni mwamba wa mbio za mita 800 baada ya kushinda mbio hizo na kunyakua medali ya dhahabu huko Rio De Jeneiro ...Soma zaidi
Upinzani nchini Zambia umeishutumu Tume ya uchaguzi kumpendelea Rais Edgar Lungu ...Soma zaidi
Donald Trump ameeleza mpango wake wa kuifanya marekani kuwa sehemu salama kwa kupambana na kile alichokiita kuwa ni ugaidi wa waislamu wenye itikadi kali ...Soma zaidi
Everton imemsajili mchezaji wa kimataifa Yannick Bolasie raia wa Dr Congo anayechezea timu ya Crystal Palace kwa gharama ya paund milioni 25 ...Soma zaidi
Arsenal haikuwa na mda wa kuwaanda wachezaji wake baada ya michuano ya Euro2016 na hawakuwa na uzoefu katika mechi walioshindwa na Liverpool ...Soma zaidi
Jeshi la Nigeria sasa linataka kumhoji mwandishi mmoja kuhusiana na uhusiano wake na kundi la Boko Haram. ...Soma zaidi
Rais wa Zambia Edgar Lungu ametangazwa mshindi wa matokeo ya uchaguzi wa urais kulingana na matokeo rasmi ya uchaguzi. ...Soma zaidi
Mahakama moja nchini Afrika Kusini imemhukumu mwanamke mmoja kifungo cha miaka kumi jela kwa kosa la kumteka nyara mtoto mchanga yapata miaka ishirini iliyopita. ...Soma zaidi
Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia Jumapili saa saba mchana nyumbani kwake katika kijiji cha Mji Mwema, eneo la kigamboni jijini Dar es salaam. ...Soma zaidi
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hii leo inaadhimisha siku tatu za maombolezi kufuatia mauaji ya raia 30 siku ya Jumamosi. ...Soma zaidi
Waziri wa maswala ya kigeni wa Uturuki ameushtumu Muungano wa Ulaya kwamba unaidhalilisha nchi yake. ...Soma zaidi