Wapatanishi katika mazungumzo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanasema kuwa pande pinzani zimekubali kuhusu mpangilio wa uchaguzi ...Soma zaidi
Katika muendelezo wa makala zinazoangalia baadhi ya tamaduni zinazopotea katika mkoa wa Tanga, hivi leo mwandishi wetu Aboubakar Famau anaangazia vyakula vya asili mjini humo. ...Soma zaidi
Baibui la ukaya katika mwanzoni mwa miaka ya hamsini hadi kufikia mwishoni mwa miaka ya themanini lilikuwa ni vazi muhimu kwa wanawake wa maeneo ya pwani ya Afrika Mashariki. ...Soma zaidi
Tetemeko la ardhi lenye uzito wa 5.7 katika vipimo vya richa limekumba eneo la Kaskazini Magharibi mwa Tanzania karibu na ziwa Victoria ...Soma zaidi
Madaktari wametumia roboti ya kwanza kufanya upasuaji wa macho na kurejesha uwezo wa kuona kwa mgonjwa kwa mara ya kwanza duniani. ...Soma zaidi
Shirika la safari za anga za mbali la Marekani (Nasa) limetuma chombo kuchukua sampuli ya mchanga kwenye mwamba uliopo kwenye sayari ndogo( Asteroid) kupata taarifa za sayari ...Soma zaidi
Mwanariadha wa Ethiopia na mshindi wa medali ya fedha wa mbio za marathoni za Olympiki Feyisa Lilesa aliyeonyesha alama ya X akimaliza mbio zake amewasili nchini Marekani ...Soma zaidi
Maafisa wa uchukuzi wa ndege nchini Marekani wamewatahadharisha abiria wanaosafiri kwa ndege kutofungulia au kuchaji simu za Samsung Galaxy Note 7 wakiwa ndani ya ndege. ...Soma zaidi
Wachunguzi nchini Urusi wanajaribu kubaini chanzo cha maji ya mto ulio karibu na kiwanda cha nikeli cha Norilsk yamebadilika rangi na kwua na rangi nyekundu. ...Soma zaidi
Shirika la habari la serikali ya Korea Kaskazini limesema taifa hilo limefanya majaribio ya bomu kupima uwezo wa bomu lake la nyuklia la kurushwa kwa kombora. ...Soma zaidi
Juhudi za uokoaji za kuwanasua watalii 45 ambao wamekwama kwenye magari ya kutumia kamba katika mlima wa Mont Blanc, Ufaransa zimeanza tena. ...Soma zaidi
Mchezaji tenisi mashuhuri Serena Williams ameondolewa kutoka kwenye mashindano ya wazi ya US Open jijini New York baada ya kushindwa hatua ya nusufainali. ...Soma zaidi
Korea Kaskazini inadaiwa kutekeleza jaribio la tano na kubwa zaidi la kifaa cha nyuklia, maafisa wa Korea Kusini wamesema, na kuzua wasiwasi kuhusu juhudi za nyuklia za taifa hilo. ...Soma zaidi
Polisi nchini Brazil wamesema kuwa wanahitaji kuongea na Rais wa kamati ya kimataifa ya Olympic, Thomas Bach, kuhusu kuhusika na mpango haramu wa kuuza tiketi kwenye michuano ya Rio iliyokamilika mwezi uliopita. ...Soma zaidi
Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Gabon, Jean Ping, amekata rufaa kwenye mahakama ya katiba kupinga ambapo amesema aliibiwa kura kwenye uchaguzi wa mwezi uliopita. ...Soma zaidi
Katika michuano ya watu wenye ulemavu inayoendelea mjini Rio de Jeneiro, mbrazil wakwanza ametwaa dhahabu ya kwanza Katika michuano ya watu wenye ulemavu inayoendelea mjini Rio de Jeneiro, mbrazil wakwanza ametwaa dhahabu ya kwanza . ...Soma zaidi
Ripoti iliyotolewa na Benki ya Dunia imesema kuwa, uchafuzi wa hewa unaigharimu zaidi ya dola trilioni tano kwa mwaka ...Soma zaidi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameiagiza Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuchunguza na kuwachukulia hatua kisheria na za kinidhamu viongozi na watumishi wa umma ambao wanakiuka taratibu za kazi. ...Soma zaidi
Rais Barack Obama amemtaja Donald Trump kuwa mtu "wa ajabu" na "asiye na ufahamu" baada ya mgombea huyo wa Republican kusema kuwa rais wa Urusi Vradimir Putin ni kiongozi mzuri zaidi ...Soma zaidi
Tanzania na Uganda zimekuwa zikipinga mkataba wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Umoja wa Ulaya (EU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambao kwa kifupi unafahamika kama EPA ...Soma zaidi