Wapiganaji wa kundi la Kiislamu la Boko Haram nchini Nigeria wamepigana wenyewe kwa wenyewe kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, duru za kiusalama zimeambia BBC. ...Soma zaidi
Rais wa Marekani Barack Obama amekutana kwa muda mfupi na mwenzake wa Ufilipino, Rodrigo Duterte nchini Laos baada ya mkutano wa awali kufutiliwa mbali. ...Soma zaidi
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imepanga kuwapatia ruzuku wachimbaji wadogo wa madini ili kuongeza mchango wa madini katika pato la taifa kutoka asilimia 3.5 ya sasa hadi 10. ...Soma zaidi
Tume ya haki za binadamu nchini zimbabwe imesema kuwa watu wanaounga mkono upinzani, walio kwenye maeneo yenye ukame wamenyimwa misaada ya chakula na chama tawala cha ZANU-PF. ...Soma zaidi
Upasuaji usio na maumivu waanza Tanzania ...Soma zaidi
Kenya imetia saini makubaliano na kampuni ya Volkswagen ya Afrika Kusini ili kutengeza magari hayo katika taifa hilo la Afrika Mashariki ...Soma zaidi
Uturuki imekariri mpango wa Marekani kushirikiana nayo kufanya oparesheni ya pamoja kuwafurusha wanamgambo wa Islamic State kutoka mji wa Raqqa ...Soma zaidi
Inaaminiwa kwamba wanawake wanaoishi pamoja hatimae huwa wa na mizunguko inayofanana ya kila mwezi ya hedhi. ...Soma zaidi
Miongoni mwa habari nyingine kuu leo, Syria imedaiwa kutekeleza shambulio la gesi ya sumu Allepo, hakimu Corsica, Ufaransa akakataa kuondoa marufuku ya Burkini. ...Soma zaidi
Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Salva Kiir amemtumia ujumbe Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa EAC akimuarifu kuwa hali ya usalama katika nchi hiyo imeanza kutengemaa. ...Soma zaidi
Australia imeweka rekodi mpya ya ushindi kwenye mashindano ya kimataifa ya cricket maarufu kama Twenty20 baada ya kuishinda Sri Lanka kwa 263-3 huko Pallekele. ...Soma zaidi
Kituo cha habari cha Fox cha nchini Marekani kimetuliza malalamiko ya unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya katibu mkuu wake Roger Ailes. ...Soma zaidi
Shirika la Afya la Duniani WHO, limetoa mwongozo mpya kwa watu ambao walizuru maeneo yalioathirika na Virusi vya ugonjwa wa Zika. ...Soma zaidi
Madaktari nchini Ufaransa wamefichua kwamba mwanamke aliyefanyiwa upasuaji wa kwanza wa upandikizaji wa uso alifariki mapema mwaka huu. ...Soma zaidi
Wafungwa katika jela moja nchini Australia wamegoma wakidai malipo. ...Soma zaidi
Kapteni wa timu ya Uingereza Wayne Rooney amesema kuwa majadiliano yanayoendelea kuhusu shughuli zake ndani ya timu hayana maana. ...Soma zaidi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi wa Zanzibar kuwa atasimamia kwa nguvu zote masuala yote yanayohusu maendeleo, kudumisha Muungano wa Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar na kudumisha amani kwa faida ya wananchi. ...Soma zaidi
Kampuni ya teksi ya Uber, imetangaza kuanzisha njia ya usafiri kupitia ndege maarufu Uber Chopper nchini Kenya. ...Soma zaidi
Serikali ya Somalia imesitisha kwa mda ndege zote zinazoingiza miraa kutoka taifa jirani la Kenya. ...Soma zaidi
Ripoti kutoka Ethiopia, zinasema kuwa risasi nyingi zilifyatuliwa Jumamosi kwenye gereza lenye ulinzi mkali, karibu na mji mkuu, Addis Ababa na kuwaka moto. ...Soma zaidi