KIKUNDI cha waasi cha M23 kinachopambana na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kimeripotiwa kupigwa vibaya na kutikisa nguvu za kikundi hicho kutokana na baadhi ya wapiganaji wake kuripotiwa kupoteza maisha.Mapigano baina ya M23 na Jeshi la...
Kwa ufupi ziara hii imelenga masuala makubwa mawili ya kidiplomasiaKuimarisha masuala ya demokrasia Kuimarisha mahusiano ya kiuchumiBarack Obama atakaa siku mbili kati ya tarehe 1 na 2 Julai 2013 na kufanya Tanzania kutembelewa na marais wawili wa Marekani na wote...
Ilianza kama chokochoko kidogokidogo za wale wanaojihesabia kuwa wasafi na washika dini kuliko wengine na sasa imekuwa mbaya sana.Kule Bangui, Afrika ya kati Waislamu ambao hapo juzi tu walikuwa wakiishi kama ndugu moja na Wakristo wenzao sasa kwa mamia...
Manyerere"Mniwie radhi kwa urefu wa makala hii, lakini nimeona ni muhimu wakati huu ambao Rwanda, Burundi na Kenya wanapoelekea kutufanya sisi mazuzu. Nawomba mchangie bila jazba".Safari hii ya Goma ihitimishiwe KigaliNa Manyerere Jackton, JAMHURIMeja Khatibu Mshindo wa Jeshi...
Picha hizi zinawaonyesha Paul Kagame ambaye ni Rais wa Rwanda na Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Tanzania wakishiriki mkutano wa ICGLR ambao kwa kirefu ni International Conference on the Great Lakes Region uliofanyika huko Kampala Uganda mnamo tarehe 5...
Hivi karibuni kumekuwepo na majibizano juu ya uvaaji wa watoto wa rais wa Marekani, Sasha na Malia. Wakiwa kwenye hafla ya siku ys shukrani Malia na Sasha walidaiwa kuvaa nguo fupi na kununa mbele ya baba yao na media....
Afrika kamwe haikuwahi kuwa na jambo kuu kama hili la mazishi ya Nelson Mandela . Huku kukiwa na huzuni kuu, kifo cha Nelson Mandela itakuwa alama ya karne na kubwa kushuhudiwa na matukio ya milele kupangwa katika bara la...
Rais wa Uganda, Rais mtegemewa wa Afrika Mashariki na Mweyekiti wa sasa wa EAC Bwana Yoweri Museveni amedai kuwa anayasikia malalamishi kutoka Tanzania lakini akadai bila ya yeye kuandikiwa rasmi kiofi hayo anayoyasikia kwenye vyombo vya habari ni uzushi...
Msichana wa miaka 25 ametangazwa kuwa chifu wa mji mmoja Argungu kazkazini magharibi mwa Nigeria, ikiwa ni mara ya kwanza wanamke kushika wadha huo. ...Soma zaidi
Mamia ya waandamanaji wamekusanyika kwa usiku wa tatu mfululizo, kufuatia kuuawa kwa mtu mweusi akiwa mikononi mwa polisi. ...Soma zaidi
Meneja wa Chelsea Antonio Conte anasema anahitaji mda kuimarisha timu yake Chelsea kucheza anavyotaka yeye ili ipate matokeo bora, Je mashabiki watamuelewa? ...Soma zaidi
Utafiti kutoka uswizi unasema watu wanaokunywa bia kwa wastani wa furaha zaidi ...Soma zaidi
Mchungaji Ushindi almaarufu kama Chabusiku,ambaye baada ya kudumu kwenye shughuli za ujambazi na wizi kwa miaka takriban arobaini ; sasa ameamua kuokoka ...Soma zaidi
Mwandishi mmoja wa mjini mjini New Orleans alikimbia na kuingia ndani ya nyumba yake iliyokuwa inateketea, kuokoa laptop yake iliyokuwa na vitabu vyake viwili vya riwaya. ...Soma zaidi
Madaktari wametumia roboti ya kwanza kufanya upasuaji wa macho na kurejesha uwezo wa kuona kwa mgonjwa kwa mara ya kwanza duniani. ...Soma zaidi
Juhudi za uokoaji za kuwanasua watalii 45 ambao wamekwama kwenye magari ya kutumia kamba katika mlima wa Mont Blanc, Ufaransa zimeanza tena. ...Soma zaidi
Jeshi la Nigeria linasema wanajeshi wake pamoja na wale kutoka Chad, wamewauwa wapiganaji 38 wa Boko Haram, kusini mashariki mwa Niger. ...Soma zaidi
Shirika la safari za anga za mbali la Marekani (Nasa) limetuma chombo kuchukua sampuli ya mchanga kwenye mwamba uliopo kwenye sayari ndogo( Asteroid) kupata taarifa za sayari ...Soma zaidi
Gavana wa New York, athibitisha bomu lililolipuka usiku wa Jumamosi mjini New York ni Ugaidi. ...Soma zaidi
Tetemeko la ardhi lenye uzito wa 5.7 katika vipimo vya richa limekumba eneo la Kaskazini Magharibi mwa Tanzania karibu na ziwa Victoria ...Soma zaidi