Kwa ufupi ziara hii imelenga masuala makubwa mawili ya kidiplomasiaKuimarisha masuala ya demokrasia Kuimarisha mahusiano ya kiuchumiBarack Obama atakaa siku mbili kati ya tarehe 1 na 2 Julai 2013 na kufanya Tanzania kutembelewa na marais wawili wa Marekani na wote...
Upasuaji usio na maumivu waanza Tanzania ...Soma zaidi
Mafuriko mashariki mwa India na nchini Nepal yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 100 na kuwaathiri mamilioni ya wengine. ...Soma zaidi
Kamati ya kimataifa ya Paralympic imeifungia Urusi kushiriki michezo ya mwezi ujao mjini Rio, Brazil kwasababu ya wanamichezo wake wamehusika katika ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli. ...Soma zaidi
Miongoni mwa habari nyingine kuu leo, kumetokea tetemeko la ardhi Italia na FBI wanachunguza madai kwamba Urusi imehusika kudukua mitandao ya wanahabari Marekani. ...Soma zaidi
Hatma ya meneja wa Arsenal, Arsene Wenger yategemea matokeo msimu huu. ...Soma zaidi
Polisi wamefyatua gesi za kutolea machozi na mabomba ya maji katika mji mkuu wa Zimbabwe Harare, kinyume na amri iliyotolewa na mahakama iliyowataka kutoingilia kati maandamano. ...Soma zaidi
Mo Farah amekuwa mwanariadha wa kwanza wa uingereza kushinda nishani tatu za dhahabu katika michezo ya olimpiki baada ya kushinda fainali za mita 10,000 mjini Rio, Brazil ...Soma zaidi
Maafisa wa polisi nchini Nigeria wanawasaka watu wawili wanaotuhumiwa kwa kuandaa ndoa ya wapenzi wa jinsia moja ...Soma zaidi
Wahamiaji 21 waliozama wameripotiwa kuzikwa na wakazi wa mji wa Libya baada ya miili yao kukutwa ikielea ufukweni. ...Soma zaidi
Kijana mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa jimbo la kaskazini magharibi mwa Nigeria la Bauchi anasema kuwa macho yake yalitolewa na watu waliotaka kuyatumia kwa ajili katika ushirikina ...Soma zaidi
watu 13 wameuwawa katika maeneo ya kaskazini Mashariki mwa jimbo la Assam, baada ya watu kadhaa waliokuwa na silaha kuanza kuwamiminia risasi ...Soma zaidi
Mwanariadha wa Kenya David Rudisha amedhihirisha kuwa ni mwamba wa mbio za mita 800 baada ya kushinda mbio hizo na kunyakua medali ya dhahabu huko Rio De Jeneiro ...Soma zaidi
Katika hatua ya kushangaza, kiongozi wa visiwa vya Sao Tome na Principe, mojawapo ya mataifa madogo zaidi barani Afrika, amesusia awamu ya pili ya uchaguzi nchini humo. ...Soma zaidi
Kampuni ya uzalishaji umeme nchini Kenya, imesema ukosefu huo wa umeme umesababishwa na hitilafu za kimitambo katika laini yake kuu. ...Soma zaidi
Wataalamu wa masuala ya usalama nchini Marekani wameonya kuwa Donald Trump atakuwa rais asiye makini zaidi. ...Soma zaidi
Polisi nchini Brazil wamesema kuwa wanahitaji kuongea na Rais wa kamati ya kimataifa ya Olympic, Thomas Bach, kuhusu kuhusika na mpango haramu wa kuuza tiketi kwenye michuano ya Rio iliyokamilika mwezi uliopita. ...Soma zaidi
Baadhi ya raia nchini Tanzania ambao wanaishi katika maeneo ya migodi,wanalalamikia fidia wanayopewa kutoka kwa wawekezaji, na kudai kuwa hailingani na ardhi iliyochukuliwa. ...Soma zaidi
Bingwa wa Olimpiki kwa mchezo wa tennis Andy Murray ameshindwa kudhibitisha ubora wake mbele ya Marin Cilic baada ya kuchapwa kwa seti 6-4 7-5 katika fainali iliyofanyika mjini Cincinnati ...Soma zaidi
Manyerere"Mniwie radhi kwa urefu wa makala hii, lakini nimeona ni muhimu wakati huu ambao Rwanda, Burundi na Kenya wanapoelekea kutufanya sisi mazuzu. Nawomba mchangie bila jazba".Safari hii ya Goma ihitimishiwe KigaliNa Manyerere Jackton, JAMHURIMeja Khatibu Mshindo wa Jeshi...