Technology and Computers

Technology & Computers

Kwa kuanza Ijumaa Anonymous waliiteka Tovuti ya Tume ya Sheria Marekani "US Sentencing Commission" na Kuondoka na Mafaili Muhimu na kudai watazisambaza kwenye public. Anonymous wanafanya hivyo kupinga mwenzao anayeitwa Swartz kujiua baada ya kukabiliwa na hukumu ambayo wao Anonymous wanadai wamemlazimisha kucheza mchezo ambao ulikuwa wazi asingeweza kushinda.
Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani ni Suhas Gopinath wa IndiaAkiwa na miaka 14, miaka 10 iliyopita alianzisha Globals Inc ambayo ni kafteria ya internet huko Bengaluru, India hakujua kuwa yeye ndiye mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote...
Darubini 10 kubwa kuliko zote duniani ni hizi hapaJina na sehemu zilipo Urefu kutoka usawa wa bahari (m) Kipenyo cha lensi ya msingi (m) Mwaka wa kuanzishwa Jina la Darubini na Mji (kama ni Tofauti na Sehemu)1.  Mauna Kea Observatory (Hawaii,...