Marekani safari hii itabidi waombe uzoefu kutoka serikali ya Bongo kwani wanaharakati wa msimamo mkali wa LEFTISTS wakiwa na ufadhili mkubwa wanaadaa mgomo mkubwa wakati wa kumuapisha Trump tarehe 20, Januari 2017. Vyanzo vya habari zinadai kuwa mitandao ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Freeman Mbowe amesema kuwa hawatashiriki shughuli ya kuapishwa kwa Dk. John Pombe Magufuli inayotarajiwa kufanyika...
Mwenyekiti wa Tumeya uchaguzi Zanzibar Salim Jecha Salim ametangaza kufuta uchaguzi wote wa Zanzibar wa Tarehe 25 Octoba 2015 pamoja na matokeo yake yoteSababu kuu ni hizi hapa chini:Wajumbe wa tume kutofautiana na kupigana Wajumbe kuwa mashabiki wa vyama vya...
Mgombea wa urais kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Edward Lowassa ametangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi wa urais yanayoendelea kutolewa na tume ya uchaguzi nchini Tanzania NEC.https://youtu.be/PL9NpD0OIiYAmesema kuwa ana ushahidi wa kutosha kwamba kuna udanganyifu uliofanyika kwenye utowaji wa matokeo...
TangaKata zote 27CUF 16CCM 11PanganiCCM 11CUF 3LushotoCDM 1CCM 17 
GeitaKata 13Zote CCMGeita vijijiniKata 15Kata 13 CCMKata 2 UpinzaniBukombeKata 19Kata 15 CCMKata 1 Upinzani
Mbeya MjiniKata 26 CDMKata 8 CCMKata 1 imeahirishwa kwa sababu ya mgombea kufariki dunia
Temeke Kata ya MtoniACT 339AFP 49CCM 9447CDM 13232nccr 12UMD 10UPDP 22
Ester Matiko wa CHADEMA katangazwa kuwa mbunge rasmi Tarime mjini 
Newala mjiniKata 16CCM 5UKAWA 11Newala vijijiniKata 10CCM 8UKAWA 2
Musomakata 14 CCMkata 2 CDM ButiamaKata 15 CCMKata 3 CDM
Urambo kata 15 CCM kata 1 ACT kata 1 CDMSikonge Kata 15 CCM Kata 3 CDM 
Matokeo Kata ya Monduli MjiniCCM 558 CDM 2626CDM inaongoza katika kata 11
Matokeo yasiyo rasmi Kagera Katika kata 10 zilizotangaza matokeo Kata 7 CDM Kata 3 CCM
Vituo vya kupigia kura vimeishiwa karatasi kwenye kata nne jimbo la Ukonga na kata 6 kwenye jimbo la Segerea. Nimempigia msimamizi wa uchaguzi anasema hana cha kufanya kwa sasa. Maelfu ya wananchi wanazuiwa kupiga kura. Mtatiro J, Segerea
Katika sehemu hii tutakuwa tukiwaletea matokeo ya uchaguzi kama itakavyokuwa ikitangazwa na TV na Radio zilizo rasmiMatokeo yatawekwa kama yalivyo, kwa ngazi ya kituo, kata, jimbo na taifa
Leo Tarehe 25 Octoba 2015 Watanzania wengi wanajitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa kihistoria. Wengi wao ni vijana ambao kwenye uchaguzi wa 2010 hawakujitokeza kwa sababu nyingi tuSababu mojawapo zilikuwa hiziHata wakipiga kura, mgombea wasiyemtaka atapita tu Foleni ni ndefu...
Mwanasheria nguli, Kibatala na wenzake wamefungua kesi mahakama kuu kuomba tafsiri ya kifungu cha 104 ya sheria za uchaguzi. Kesi hiyo itaanza kusikilizwa tar 21.10.2015Mimi katika pekua pekua yangu nimekutana na sheria ya uchaguzi, marekebisho CAP 343 ya June...
Na Ananilea NkyaUchaguzi  wa kumpata Rais wa Tanzania mwaka huu  umeanza  kwa kuvunja kanuni na Katiba ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM)  na  huenda  ukamalizikia kwa kuvunja Katiba ya nchi  na sheria ya uchaguzi hapo tarehe 25 jumapili ijayo Oktoba...
Na Ananilea NkyaUchaguzi mkuu utakaofanyika Jumapili tarehe 25 Oktoba mwaka huu 2015 huenda vyombo vya dola vikatumika kifisadi kupora mamlaka ya wananchi   kuchagua kiongozi wanayemtaka katika ngazi ya Urais, ubunge na udiwani.Hii ni kwa sababu Rais Kikwete   siku alipozima...