Jenerali UlimwenguToleo la 42530 Sep 2015KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo hujijengea dhana yake ya hicho unachokiita ukweli, lakini ambacho kinaweza kuwa mbali kabisa...
Wagombea wa ubunge katika jimbo la Mtama, wilaya ya Lindi vijijini, kutoka katika vyama vilivyopo kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), Isihaka Mchinjita(CUF) na Seleman Methew(CHADEMA) wamemaliza tofauti zao zilizotokana na mgogoro wa kugombea jimbo hilo.Mgogoro ambao ulianza kuwagawa wafuasi wa wagombea hao...
Tathmini ndogo juu ya nyomi ya Eddo Tanga.1. Tanga ni CCM stronghold, wakishabihiana kwa kiasi fulani na CUF.  Japokuwa kumetokea fragmentation ndani ya CUF, wapo shabiki wa CUF ambao wanaojichukulia ni sehemu ya Ukawa. Hao watakwenda kumwona Eddo.2. Kauli...
Taasisi ya Tanzania Development Initiative (TADIP) nayo imetoa matokeo ya utafiti wake jioni ya leo. Utafiti huo umefanyika wiki 3 za mwanzo za mwezi huu wa 9. Wananchi waliojiandikisha kupiga kura 2040 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania bara walishiriki...
Makada wa ccm hasa wale wenye uelewa duni wanaendelea kupiga porojo juu ya Afya ya Mh Edward Lowasa, ni haki yao kutoa maoni ili taifa lipate rais bosa na mwenye afya bora. Lakini kinachoshangaza nikuona watu hawa wanajipa jukumu la...
*CCM ndio chama kinachopendwa zaidi na wananchi* *Takwimu zinaonyesha kwamba wananchi hawaelewi nafasi rasmi ya Ukawa* *22 Septemba, Dar es Salaam: *Asilimia 62 ya wananchi wanasema kwamba wanajisikia wapo karibu zaidi na chama cha CCM kuliko vyama vingine. Aidha, walipoulizwa watawachagua wagombea wa...
Baada ya kuzomewa jana Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, aliwakashifu wapiga kura wake kwa kusema maneno haya:“Kama hamnitaki siyo lazima niwe mbunge wenu, mnaruhusiwa kubadili. Huyo aliyewapa viroba...
- Maoni BinafsiMaoni kura za Urais na Kiwango cha Kukubalika kwa Mgombea Urais 2015, Tanzania kwa Kila MkoaVyama Husika ni CCM, UKAWA, ACT na vyama vingineKwa mikoa 9 yenye wapiga kura wengi UKAWA itashinda kwa 53.6% na kwa kura...
Haina maana ukibadilisha dereva wa treni lile la zamani linalotumia kuni litaweza kukimbia kilomita 500 kwa saa kama lile la umeme.Tunaposema gari moshi haliwezi kukimbia kilomita 500 kwa saa tuna maana mfumo wake wa utendaji kazi ndio unaamua likimbie...
EDWARD LOWASSA WA CHADEMA/UKAWA AITIKISA NGOME YA ZITTO KABWE - KIGOMA711
Kilichonivutia pia ni kukubali indirectly kuwa kapokea mshahara wa agosti na pia kutojibu kabisa suala la yeye kufukuziwa nje na H... wake maana siwezi mwita mke au mchumba wakati mke wake wa ndoa bado yupo.Kakataa pia kutoa ushaihidi wa...
Ifuatayo ni clip ya audio ya majibu ya Rose Kamili mke wa Dr Slaa kuhusiana na hotuba yake ya pale Serena Tarehe 1, Septemba 2015 ambayo pamoja na mambo mengine Dr Slaa aliongelea maswala ya kifamilia344
Mambo kumi (10) ambazo zitashusha Heshima ya Dr SlaaAlikuwa mtu wa kwanza na mstari wa mbele kumelta LOWASSA CHADEMA hivyo alikuwa tayari kumleta LOWASSA CHADEMA huku akijua na kuamini kuwa LOWASSA ni fisadi na kwa hiyo sasa akimshambulia ni...
Date: Tuesday, September 1, 2015 HOTUBA YA DR SLAA SERENA HOTEL 1 SEPTEMBA 2015 KWA UFUPINapenda  kumshukuru  mwenyezi mungu  kwa  kutujali  uzima. Nimeamua  kujitokeza  leo  hii ili  kukomesha  upotoshaji  na  kuuweka  wazi ukweli. Sina tabia  ya  kuyumbishwa  na  ninasimamia ninachokiamini. Sina  ugomvi  na  kiongozi...
HOTUBA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA NA UKAWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASSAYA KUZINDUA ILANI NA KAMPENI YA UCHAGUZI MKUUJangwani-Dar-es-Salaam, 29 AGOSTI 2015Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu1. Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya...
Baada ya kuona hali hiyo, Dk Magufuli alisema: “Nawaombeni jamani, hatuchagui malaika, kila mtu ana tatizo lake. Inawezekana wengine mmechoka hata kumwangalia, lakini mkitaka mimi nifanye kazi vizuri nileteeni huyu bwana,” alisema akimnadi mgombea huyo.By Nuzulack Dausen na Katare...
RATIBA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS WA CHADEMA/UKAWA NA MGOMBEA MWENZA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) RATIBA YA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2015tarehe mkoa wilaya muda maelezo29/8/2015 dar es salaam wilaya zote saa 1.00 asubuhi hadi 12.00 jioni uzinduzi wa kampeni kitaifairinga30/08/2015 mufindi saa...
SIKU TANO ZA KAMPENI: YAFUATAYO YANAONESHA DHAHIRI KUWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZINASHIRIKIANA NA CCM KUJARIBU KUHARIBU UCHAGUZI HUU;Na. Julius Mtatiro. 1. Kumzuia mgombea urais wa CHADEMA/UKAWA kuhudhuria msibani eti kwa sababu amesindikizwa na watu,...
Mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chadema, Saed Kubenea akionyesha kadi za kupigia kura jana zilizodaiwa kukamatwa hivi karibuni. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) ambaye pia ni  mgombea wa Kawe, Halima Mdee. Picha na...
Vipaumbele vya JP Magufuli in Summary:  1. Umoja wa Taifa 2. Kulinda Muungano wa Tanzania.  3. Ulinzi na usalama 4. Kuheshimu mihimili ya Dola.  5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi 5. Utawala bora 7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani 8. Ataimarisha vyombo vya...