Mwanzoni nilidhani ni Uongo kumbe ni kweli. Haya ni majibu ya mwanzo tu ya CCM jangwani jana ya akina Mkapa, Makongoro, Mwinyi, Nape, Warioba na wengineoMh Edward Ngoyai Lowassa Akisafiri kwa Daladala Leo 24 Agosti 2015 Gongolamboto - Chanika...
Na Ananilea NkyaNimeandika  hoja hii baada ya kusoma na kusikia  hoja zinazotolewa na  baadhi ya Watanzania kwamba  eti CHADEMA , CUF, NCCR-Mageuzi  na NLD  -vyama vinavyounda UKAWA kwa kumsimamisha   Edward Lowassa kugombea Urais  vimepoteza usafi  wa kuongoza  mapambano dhidi...
Ujio wa Edward Lowassa kwenye Chadema a UKAWA kumeibua maneno mengi na sintofahamu kwa watu mbali mbali wakiwemo wana baadhi ya chadema na wana UKAWA. Ipo mitazamo tofauti. Kuna wanaoona Lowassa asingepokelewa Chadema na UKAWA. Wengine wanaona Lowassa angepokelewa...
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe 13 Agosti 2015 kilitangaza majina ya wagombea ubunge, ubunge viti maalum, uwakilishi na uwakilishi viti maalum. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya CCM mjini Dodoma, Katibu...
Mwendesha Mashtaka Mkuu(ICC) Bibi Fatou Bensouda aitahadharisha Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa 25 Oktoba 2015. Juzi alipokuwa Arusha Mh. Edward Lowassa mgombea wa urais kupitia UKAWA lizungumzia swala la watawala na dola kugoma kuachia mamlaka na kusisitiza kuwa atawashitaki katika...
Katika barua yake aliyoiandikia kamati kuu ya ACT Wazalendo, Prof Kitila Mkumbo amesema kuwa hakubali uteuzi huo kwani hayuko tayari kisaikolojia, kifamilia na kisiasa kuchukua jukumu hilo.Ikumbukwe kuwa Prof Kitila Mkumbo ni mojawapo wa wasomi wa kwanza kabisa kuusifia...
Mgawanyo wa majimbo kwa vyama vya siasa vilivyo chini ya umoja katiba ya wananchi(UKAWA), Mgawanyo unaonyesha mkoa, jimbo na CHAMA ambacho kipo chini ya UKAWA wapi kitapeperusha bendera yake.Kwa ufupi: CHADEMA 137, CUF 49, NCCR 14, NLD 3 Arusha 1.    Arumeru...
Hapo zamani za kale walitoke vijana wawili waliokua marafiki sana. Mmoja akiitwa "mtoto wa tajiri" na mwingine "ndugu mkware".. Waliitwa "Boys 2 Men" kwa jinsi walivyoshibana. Mtoto wa Tajiri baba yake alikuwa na mali nyingi lakini "ndugu mkware" alikuwa...
Hizi picha ni za mkutano wa Lowassa, mgombea kupitia CHADEMA na UKAWA katika kinyang'anyiro cha urais Tanzania 25 Octoba 2015832
Fahmi Nasoro Dovutwa Mwenyekiti wa chama cha UPDP ameshindwa kupata wadhamini wa Urais kwa kisingizio hiki hapa: Uchaguzi wa CCM umevuruga kabisa utaratibu wa kupata wadhamini kwa sababu kila mtu sasa anataka rushwa. Wagombea wa CCM walimwaga pesa nyingi kwenye...
Lowassa akipendwa na wanabodaboda kawanunuaAkipendwa na mama ntilie = kawanunuaAkipendwa na ombaomba = kawanunuaAkipendwa na waalimu = kawanunuaAkipendwa na wafanyabiashara ndogondogo = kawanunuaAkipendwa na wamachinga = kawanunuaAkipendwa na wenyeviti wa wilaya na mikoa 90% wa CCM = kawanunuaAkipendwa na...
Mradi wa Maji ya Kahama Shinyanga Kutoka Ziwa Victoria ambao ulisimamiwa na Mh Edward Ngoyai Lowassa.[youtube https://www.youtube.com/watch?v=gTpfYUvOjvI] 828
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza na waendesha Bodaboda   Waziri Mkuu wa zamani Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza na waendesha Bodaboda wa Dar es Salaam. Waendesha bodaboda hao walifurahishwa na hotuba ya Lowassa na kumshangilia kwa kumwita Rais.https://youtu.be/EMTAOfsgQlo
Na Thobias Odhiambo SABABU 20 ZA CCM KUSHINDWA UCHAGUZI MKUU 2015 HIZI HAPA Mimi ni mwanaCCM kindakindaki na ni mtu nisiyependa kupindisha mambo….nyeupe naiita nyeupe na nyeusi naiita nyeusi….sina unafiki hata tone! Nimetafakari kwa kina sana na kubaini kwamba kuna sababu takribani...
Jana akihutumia umati mkubwa wa wafuasi wa UKAWA katika ofisi za CHADEMA, Kinondoni, Lowassa alimlipua kwa mara ya pili Kikwete kwa kusema kuwa kaharibu uchumi wa nchi"Rafiki yangu Kikwete kaharibu uchumi wa nchi yetu"  “Wakati Rais Mkapa anaondoka madarakani kilo...
Kila kunapokucha Taifa letu linaendelea kuingia katika giza tororo hasa kutokana na baadhi wa wale walioaminiwa na Raisi kuhakikisha kuwa wanaendelea kuziacha Wizara zikiwa hoi kutokana na Ufisaidi wa kutisha.Kabla hata swala la Escrow halija futika katika mioyo na...
Niliposimamia Misingi ya uadilifu baadhi ya watu wa CCM hawakunielewa na walinipinga leo kwa misingi ileile ninayoendelea kuisimamia na UKAWA hawanielewi na kunipinga. Sitarudi Nyuma, hili ni kati yangu na nchi yangu.Sitajali kubaki peke yangu, sitajali kupoteza marafiki, Historia...
Msafara wa kumsindikiza mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA na UKAWA, Mh. Edward Lowassa umevunja rekodi ya wingi wa watu hasa vijana na kusimamisha kwa masaa shughuli zote za kawaida katika Jiji hilo. Maeneo yaliyoadhirika hasa ni pale Kariakoo...
Source JFCCM iko kwenye wakati mgumu sana kisiasa baada ya kugundua kuwa mgombea wake wa Urais John Pombe Magufuli sio mtu mwenye nguvu na ushawishi mpana katika siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu.Habari za ndani ya CCM...
Edward Ngoyayi Lowasa: Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafaNa Profesa Kitila Mkumbo Katika makala mbili nilizoandika na kuchapishwa katika gazeti hili wiki mbili zilizopita nilijaribu kuanisha sifa za kihaiba na kikazi za mwananchi anayefaa kuwa Rais wetu wa...