Na Thobias Odhiambo SABABU 20 ZA CCM KUSHINDWA UCHAGUZI MKUU 2015 HIZI HAPA Mimi ni mwanaCCM kindakindaki na ni mtu nisiyependa kupindisha mambo….nyeupe naiita nyeupe na nyeusi naiita nyeusi….sina unafiki hata tone! Nimetafakari kwa kina sana na kubaini kwamba kuna sababu takribani...
BREAKING NEWS.... LOWASSA,LOWASSA,.. AIPASUA CCM RASMI.. BAADA ya vuta nikuvute katika vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuhusu kukubaliwa au kutokubaliwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa kujiunga na umoja huo ili kuongeza nguvu ya kisiasa, hatimaye...
Lazima muwasikilize wanachi wanasemaje kwanza. Kwani kama wote wanafaa lakini kuna mmoja wanachi wanampenda zaidi huyo ndie anafaa kuwa Rais wa nchi. Msipuuze maoni ya wananchi, Mnaweza kuteua tu na kusema huyu ndiye wa kwetu bwana. Majina yakatoka Kamati...
Leo Tarehe 25 Octoba 2015 Watanzania wengi wanajitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa kihistoria. Wengi wao ni vijana ambao kwenye uchaguzi wa 2010 hawakujitokeza kwa sababu nyingi tuSababu mojawapo zilikuwa hiziHata wakipiga kura, mgombea wasiyemtaka atapita tu Foleni ni ndefu...
Hatimaye chama cha mapinduzi CCM imemchagua waziri wa Ujenzi, Dr John Pombe Joseph Magufuli kuipeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa Urais, Octoba 2015.Magufuli aliwashinda kwa 87.1% washindani wake kama ifuatavyoJumla ya kura zote zlizopigwa ni 2422 Kura zilizoharibika...
Makada wa ccm hasa wale wenye uelewa duni wanaendelea kupiga porojo juu ya Afya ya Mh Edward Lowasa, ni haki yao kutoa maoni ili taifa lipate rais bosa na mwenye afya bora. Lakini kinachoshangaza nikuona watu hawa wanajipa jukumu la...
Salutation: Hon.First Name: SamiaMiddle Name: HassanLast Name:SuluhuMember Type:Elected MemberConstituent:MakunduchiPolitical Party:Chama Cha MapinduziOffice Location:P.O. Box 3021, Dar Es SalaamOffice Phone: +255 774 010 203/+255 784 717 712Office E-mail: [email protected] Status: ActiveDate of Birth 27 January 1960EDUCATIONSchool Name/Location...
Mwanasheria nguli, Kibatala na wenzake wamefungua kesi mahakama kuu kuomba tafsiri ya kifungu cha 104 ya sheria za uchaguzi. Kesi hiyo itaanza kusikilizwa tar 21.10.2015Mimi katika pekua pekua yangu nimekutana na sheria ya uchaguzi, marekebisho CAP 343 ya June...
Edward Ngoyai Lowassa Akishukuru Wananchi Baada ya Kutangaza Nia ya Urais 2015 Arusha
Edward Loawassa Akihutubia Press Conference Baada ya Kupokelewa Rasmi CHADEMA
Baada ya jana Jumamosi tarehe 11/7/2015, Usiku kuahirishwa kwa mkutano mkuu wa CCM wa kumchagua mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, mkutano huo unaendelea tena leo ili kumpitishamgombea mmoja tu kati ya watatu waliopendekezwa na...
Kila kunapokucha Taifa letu linaendelea kuingia katika giza tororo hasa kutokana na baadhi wa wale walioaminiwa na Raisi kuhakikisha kuwa wanaendelea kuziacha Wizara zikiwa hoi kutokana na Ufisaidi wa kutisha.Kabla hata swala la Escrow halija futika katika mioyo na...
Ofisa mmoja wa chama kiitwacho ACT ambaye mara kadhaa amenukuliwa akiwa ni msemaji wa chama hicho ameandika na kueneza habari mtandaoni kuwa kada mwandamizi wa CCM Edward Lowassa anahamia CHADEMA!Inashangaza kidogo! Ama ni kwamba wahusika wa chama hicho hawana...
Mwendesha Mashtaka Mkuu(ICC) Bibi Fatou Bensouda aitahadharisha Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa 25 Oktoba 2015. Juzi alipokuwa Arusha Mh. Edward Lowassa mgombea wa urais kupitia UKAWA lizungumzia swala la watawala na dola kugoma kuachia mamlaka na kusisitiza kuwa atawashitaki katika...
Taasisi ya Tanzania Development Initiative (TADIP) nayo imetoa matokeo ya utafiti wake jioni ya leo. Utafiti huo umefanyika wiki 3 za mwanzo za mwezi huu wa 9. Wananchi waliojiandikisha kupiga kura 2040 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania bara walishiriki...
UTANGULIZI Nianze kwa kusema kuwa jukumu la kuing'oa CCM madarakani ni kazi ngumu na yenye kuhitaji umoja wa wapinzani wote.Hata kama wapinzani wote wakiungana bado mbinu na mikakati murua ilihitajika ili kuweza kuking'oa CCM madaralani.Mbinu hizo mojawapo muhimu ilikuwa ni...
Dk.John Pombe Magufuri Akichukua Fomu ya Kuwania Urasi 2015 Kupitia CCM
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe 13 Agosti 2015 kilitangaza majina ya wagombea ubunge, ubunge viti maalum, uwakilishi na uwakilishi viti maalum. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya CCM mjini Dodoma, Katibu...
UPDATE/TAARIFA MPYA ya tarehe 14 Julai 2015Uongo ukiachwa ukasemwa sana bila kusahihishwa unaweza kugeuka kuwa ukweli.Tungependa kusahihisha propaganda nyepesi zinazoendelea kuenezwa ili kuusaidia umma usiendelee kupotoshwa kwa mambo yasiyokuwa ya msingi huku kukiwa na mambo makubwa yanayohitaji 'attention' ya...
Na Ananilea NkyaNimeandika  hoja hii baada ya kusoma na kusikia  hoja zinazotolewa na  baadhi ya Watanzania kwamba  eti CHADEMA , CUF, NCCR-Mageuzi  na NLD  -vyama vinavyounda UKAWA kwa kumsimamisha   Edward Lowassa kugombea Urais  vimepoteza usafi  wa kuongoza  mapambano dhidi...