Balozi Amina Salumu Ali Akichukua Fomu ya Kuwania Urasi 2015 Kupitia CCM
Wagombea ubunge sita wameisha fariki hadi sasa. Wenyeviti wawili wa vyama vya siasa nao wamefariki. Wote hawa ndani ya kipindi kifupi, 2015. Mawaziri wawili na wengineo. Kuna walionusurika vifo katika ajali ndani ya kipindi husika! Nawaomba watanzania waendelee kuombea...
Tangu kampeni zilipoanza tumehsuhudia wagombea Urais hasa kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa vyama vinavyounda UKAWA, Mh. Edward Lowassa na yule wa CCM Mh. John Pombe Magufuli kila mmoja akipiga kampeni kwa staili zinazotofautiana kabisaLowassa kwa upande wake amekuwa akitumia...
Ifuatayo ni clip ya audio ya majibu ya Rose Kamili mke wa Dr Slaa kuhusiana na hotuba yake ya pale Serena Tarehe 1, Septemba 2015 ambayo pamoja na mambo mengine Dr Slaa aliongelea maswala ya kifamilia344
Kilichonivutia pia ni kukubali indirectly kuwa kapokea mshahara wa agosti na pia kutojibu kabisa suala la yeye kufukuziwa nje na H... wake maana siwezi mwita mke au mchumba wakati mke wake wa ndoa bado yupo.Kakataa pia kutoa ushaihidi wa...
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, Ndg.Said Amour Arfi ambaye alijiunga na Chama cha mapinduzi (CCM) hivi karibuni amesema anafikiria kujiondoa CCM na kujiunga na chama kingine cha upinzani (hakukitaja jina), kwa kuwa hakuna demokrasia ya kweli ndani...
Date: Tuesday, September 1, 2015 HOTUBA YA DR SLAA SERENA HOTEL 1 SEPTEMBA 2015 KWA UFUPINapenda  kumshukuru  mwenyezi mungu  kwa  kutujali  uzima. Nimeamua  kujitokeza  leo  hii ili  kukomesha  upotoshaji  na  kuuweka  wazi ukweli. Sina tabia  ya  kuyumbishwa  na  ninasimamia ninachokiamini. Sina  ugomvi  na  kiongozi...
Mh. Edward Ngoyai Lowassa Akitangaza Nia ya Urais 2015 Mbele ya Umati Mkubwa wa Watu Kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha
Hotuba ya Stephen WasiraAkitangaza Nia ya Urais 2015 Mwanza
Fahmi Nasoro Dovutwa Mwenyekiti wa chama cha UPDP ameshindwa kupata wadhamini wa Urais kwa kisingizio hiki hapa: Uchaguzi wa CCM umevuruga kabisa utaratibu wa kupata wadhamini kwa sababu kila mtu sasa anataka rushwa. Wagombea wa CCM walimwaga pesa nyingi kwenye...
Mwigulu Nchemba Atangaza Nia Urais 2015 Kupitia CCM
Baada ya kuzomewa jana Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, aliwakashifu wapiga kura wake kwa kusema maneno haya:“Kama hamnitaki siyo lazima niwe mbunge wenu, mnaruhusiwa kubadili. Huyo aliyewapa viroba...
Mgombea ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chadema, Saed Kubenea akionyesha kadi za kupigia kura jana zilizodaiwa kukamatwa hivi karibuni. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) ambaye pia ni  mgombea wa Kawe, Halima Mdee. Picha na...
Bernard Member Atangaza Nia Urais 2015 Kupitia CCM2
Profesa Sospeter Muhongo Akichukua Fomu ya Kuwania Urasi 2015 Kupitia CCM
Baada ya jana Jumamosi tarehe 11/7/2015, Usiku kuahirishwa kwa mkutano mkuu wa CCM wa kumchagua mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, mkutano huo unaendelea tena leo ili kumpitishamgombea mmoja tu kati ya watatu waliopendekezwa na...
Kila kunapokucha Taifa letu linaendelea kuingia katika giza tororo hasa kutokana na baadhi wa wale walioaminiwa na Raisi kuhakikisha kuwa wanaendelea kuziacha Wizara zikiwa hoi kutokana na Ufisaidi wa kutisha.Kabla hata swala la Escrow halija futika katika mioyo na...
Edward Ngoyai Lowassa Akitafuta wadhamini wa Urais 2015
Makada wa ccm hasa wale wenye uelewa duni wanaendelea kupiga porojo juu ya Afya ya Mh Edward Lowasa, ni haki yao kutoa maoni ili taifa lipate rais bosa na mwenye afya bora. Lakini kinachoshangaza nikuona watu hawa wanajipa jukumu la...
Lowassa akipendwa na wanabodaboda kawanunuaAkipendwa na mama ntilie = kawanunuaAkipendwa na ombaomba = kawanunuaAkipendwa na waalimu = kawanunuaAkipendwa na wafanyabiashara ndogondogo = kawanunuaAkipendwa na wamachinga = kawanunuaAkipendwa na wenyeviti wa wilaya na mikoa 90% wa CCM = kawanunuaAkipendwa na...