Orodha kamili ya mabilionea na matajiri wakubwa ishirini (20) duniani 2011 hii hapa: Tajiri na bilionea wa kwanza duniani Carlos Slim Helu wa Mexico Tajiri na bilionea wa pili duniani Bill Gates wa Marekani Tajiri na bilionea wa tatu duniani Bernad Arnault wa Ufaransa Tajiri na bilionea wa nne duniani Warren Buffett wa Marekani Tajiri na bilionea wa tano duniani Larry Ellison wa Marekani
Je wajua historia ya tajiri wa pili duniani Warren Buffet? Yeye anamiliki zaidi ya dola za kimarekani bilioni 50 na ameshachangia zaidi ya billion 30. Haya ndio baadhi ya mambo yake muhimu kuzingatia:Alinunua shea za kwanza akiwa na miaka...
Umri: Miaka 63 Chanzo cha Utajiri: viwanda na Utengenezaji binafsi wa bidhaa Makazi: Dar es Salaam, Tanzania Nchi ya Uraia: Tanzania Orodha ya ForbesNa. ya 30 katika orodha ya matajiri 40 wa AfrikaSaid Salim Bakhresa ni mtu tajiri kuliko wote nchini Tanzania ambaye...
Kwa ufupi ziara hii imelenga masuala makubwa mawili ya kidiplomasiaKuimarisha masuala ya demokrasia Kuimarisha mahusiano ya kiuchumiBarack Obama atakaa siku mbili kati ya tarehe 1 na 2 Julai 2013 na kufanya Tanzania kutembelewa na marais wawili wa Marekani na wote...
Haya ni maneno yangu, wanawake watachukua nafasi kubwa ya kiuchumi Afrika katika karne ya 21. Fuatilia orodha hii hapa chini jinsi wanawake wanavyoendelea kuwa mamilionea wa karne ya 21Isabel Dos Santos (Angola)Jina: Isabel Dos Santos Raia: Angola Net Worth: Unknown Chanzo: Uwekezaji binti...
Bilionea Tajiri Kuliko Wote Duniani 2010 ni Carlos Slim kutoka Mexico, ana utajiri wa kiasi cha dola za kimarekani billioni 53.5.Orodha kamili ya mabilionea 50 duniani hii hapa:Carlos Slim Helu & family Mexico umri...
Nchi 3 Zenye Mabilionea Wengi Duniani 2010 ni Hizi Hapa:Jina la NchiIdadi ya mabilioneaMarekani403China64Urusi62Chanzo chetu: Forbe
  Baada ya kujivua gamba, sasa Rostam Aziz ataka kujivua uraia wa Tanzania kwa kutorokea Indonesia.. Jaribio la kutorosha mali zake nje lazimwa. Nadhani sasa anajionyesha kuwa hakuwa mwenzetu. baada ya kupora mali za nchi na baada ya Dowans kulipwa...