Miji 20 Kubwa Kuliko Zote Duniani ni:Na Mji/Nchi Makadirio ya Watu Ktk Milioni2003 20101 Tokyo, Japan 35 43.932 Mexico City, Mexico 18.7 23.473 New York, United States 18.3 22.974 São Paulo, Brazil 17.9 22.475 Mumbai, India 17.4 21.846 Delhi, India 14.1 17.707 Kolkata (Calcutta), India 13.1 16.448 Buenos Aires, Argentina 13 16.329 Shanghai, China 12.8 16.0710 Jakarta, Indonesia 12.3 15.4411 Los Angeles, United States 12 15.0612 Dhaka, Bangladesh 11.6 14.5613 Osaka, Japan 11.2 14.0614 Rio de...
Leo mkuu wa kaya Dr Jakaya Mrisho Kikwete amezindua vitambulisho vya Taifa ambazo vimetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa ya digitali inayoitwa "SmartCard"
Nchi Kongwe kwa Ustaarabu Duniani ni Misri.Misri ya kale yakadiriwa miaka 3,000 iliyopita ndiyo jamii kubwa iliyostaarabika kutokea Duniani. Wamisri waliishi kandokando ya mto Nile na kitamaduni walistaarabika katika namna wanavyoongea, wanavyoabudu, wanavyoelewa na kuchukulia ulimwengu wa kaisili, walivyojiendesha...