Ndege kubwa ya shirika la ndege la Ethiopia Airlines ikiwa na abiria zaidi ya 200 imetua kwenye majani wakati ikijaribu kutua kwa dharura katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha Airport, mkoani Arusha.  Ndege hiyo imetua katika uwanja huo...
Taarifa za abiria walikuwa kwenye basi la Mtei inasema kuwa basi hilo lililopata ajali na kuua watoto wawili wa familia moja baada ya basi hilo kumgonga mwendesha bodaboda ambaye aliwabeba watoto hao.Taarifa zinaendelea kutabainisha kuwa mwendesha bodaboda huyo aliingia...
Napenda kuchukua fursa hii kama mtanzania  kuwahabarisha WATANZANIA WOTE kuwa Shirika letu la Ndege la Taifa ATCL – Imeleta ndege aina ya boeing 737-500 yenye uwezo wa kubeba abiria 108 kwa mkupuo.Safari zake zitaanza rasmi ijumaa tarehe 18 Mei 2012, kwa...
Wasafiri wengi wemekwama Dumila Morogoro wakitokea Mwanza Shinyanga, Kahama, Dodoma nk na kwa upande wa pili wakitokea Dar, Morogoro, nk kwa sababu ya daraja linalounganisha Morogoro na Dodoma la Dumila kuharibiwa vibaya na mafuriko yaliyotokana na mvua zinazoendelea. Malori...
Kuna technical weaknesses hapa kwenye mpango huu wa kuwasafirisha waalimu wa Dar bure, Lengo ni zuri lakini utekelezaji wake ni aibu tupu.Udhaifu ulio katika mpango huuKwanza wadau wa msingi kwenye usafiri wa dalala Dar ambao ni makonda na madereva...