Alihukumiwa kifo baadaye na muda mfupi kabla ya hukumu ya kifo kutekelezwa alimuomba kalamu na karatasi afisa wa magereza na kuandika barua ya kuagana kwenda kwa binti wa afisa wa magereza, maandishi ambayo yanaishi mpaka leo. Barua hiyo ndio inaaminika kuwa kadi ya kwanza ya valentine.
 Msichana anayekula sana na anayetarajiwa kuwa mnene kuliko wote duniani, Sussane anatarajia kuolewa na mpishi. "Tutafanya wawili wanaoendana, ninapenda kula na yeye anapenda kupika. Atanisaidia kufikia malengo kwa kunilisha" Hayo aliyasema Sussane ambaye picha yake ipo hapo kulia akilishwa...
Binadamu wa kihindi ambaye ndie baba mzee mkongwe kuliko wote duniani  kawa baba kwa mara ya pili akiwa na umri wa miaka 96.Raghav Ramjit ilitunukiwa kuwa baba mzee mkongwe kupita wote dunbiani  miaka miwili iliyopita wakati yeye alikuwa amemzaa...
Je wajua historia ya tajiri wa pili duniani Warren Buffet? Yeye anamiliki zaidi ya dola za kimarekani bilioni 50 na ameshachangia zaidi ya billion 30. Haya ndio baadhi ya mambo yake muhimu kuzingatia:Alinunua shea za kwanza akiwa na miaka...
Nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa na mume wangu, kwa zaidi ya miaka 8 na hata sasa bado anaendelea, Kwani hata kuongea uongo kwenye media juu yangu ni ukatili pia. nimekuwa...
Nchi 20 zinazoongoza duniani kupokea misaada ya kimaendeleo ni Iraq (Dola Bilioni 9.115) ikifuatiwa na Afghanistan (dola bilioni 3.951. Nchi ya Tanzania ni ya tatu kwa kupokea dola takribani bilioni 2.811 kwa mwakaNchi zingine ni hizi hapa chiniNCHIMSAADA KATIKA...
LONDON (TrustLaw) imebaini katika tafiti zao kuwa Afghanistan, Kongo na Pakistan ni nchi hatari zaidi kwa wanawake kuishi duniani kutokana na mlipuko wa vitisho kuanzia unyanyasaji, ubakaji, afya duni, Nk. Kura ya maoni iliyofanywa na mtaalam wa Thomson Reuters...
Ushauri huu ambao Mohamed Ali alimshauri Binti yake unaweza kukuinua, kukubadilisha na kukusaidia kwa jinsi unavyo wasaidia wengineHili tukio ni la kushawishi na kuvutia kwa jinsi Mohamed Ali alivyotumia busara na hekima ya hali ya juu kumshauri binti yake...
Gwajima afunguka sakata la Mbasha MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la jijini Dar es Salaam, Josephat Gwajima, amefunguka na kuuweka hadharani uhusiano wake na familia ya waimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha na mume wake,...
Waendesha pikipiki songea wakiwa wamefunga barabara inayoelekea kwa mkuu wa mkoa ili kushinikiza serikali kuzuia mauaji ya kikatili ya raia zaidi ya 15 wasikuwa na hatia wanaoendelea kuuwa Songea na watu wasiojulikana tangu mwezi novemba mwaka jana 2011.   
"Mchungaji ...yapata kama wiki mbili zilizopita nilihoji kupitia vyombo vya habari juu ya ‘utajiri' wa ghafla wa mkewangu Mara baada ya mgogoro kutokea kati yangu na yeye, bila kupoteza muda mkewangu akanijibu kupitia gazeti moja la udaku kuwa amechangiwa...