Chelsea Yavunja Rekodi Ligi Kuu Uingereza 2015

0
974
Chelsea Yavunja Rekodi Kuu Tatu (3) May 2015
Chelsea Yavunja Rekodi Kuu Tatu (3) May 2015
Chelsea Mabingwa wa Uingereza 2015
Chelsea Mabingwa wa Uingereza 2015
  •  Imevunja rekodi ya kuongoza ligi kwa siku 274 zaidi ya ile ya MAN United ya siku 262 mwaka 1993/4 na ya kwake yenyewe ya siku 257 ya mwaka 2005/6
  • Imevunja pia rekodi ya kupoteza mechi chache. Imepoteza mechi nne tu wakati MAN United ilipoteza Mechi tano 1999.
  • Yavunja rekodi ya kutopoteza mechi nyumbani

Haijawahi kutokea katika historia ya ligi ya Uingereza kwa timu moja kuongoza ligi kwa muda mrefu kama walivyofanya “The Blues”

Chelsea imeongoza ligi tangu mwanzo kwa muda mrefu (siku 274) na hivyo kuvunja rekodi ya Man United ya mwaka 1993/94 ambayo iliongoza ligi kwa siku 262. Rekodi yake yenyewe ya mwaka 2005/6 kwa siku 257.

Rekodi ya Chelsea Katika Kuongoza Ligi ya Uingereza
Rekodi ya Chelsea Katika Kuongoza Ligi ya Uingereza

Chelsea pia inasherehekea kuvunja rekodi mbili muhimu

  1. Kupoteza mechi chache kuliko timu zote ziliwahi kushiriki ligi ya Uingereza. Chelsea imepoteza mechi nne tofauti na ile rekodi ya MAN United ya kupoteza mechi tano 1999.
  2. Pia Chelsea imevunja rekodi ya kutopoteza katika uwanja wa Stanford Bridge

Ubingwa huu ni wa nne kwa premier league na wa saba tangu mashindano makubwa ya Uingereza yaanze mwaka 1947 baada ya vita vya pili vya dunia. Angalia historia ya Mabingwa

Historia Fupi Kutoka 1992-2015

seasonchampionsrunners-up
1992–93manchester unitedaston villa
1993–94manchester unitedblackburn rovers
1994–95blackburn roversmanchester united
1995–96manchester unitednewcastle united
1996–97manchester unitednewcastle united
1997–98arsenalmanchester united
1998–99manchester unitedarsenal
1999–2000manchester unitedarsenal
2000–01manchester unitedarsenal
2001–02arsenalliverpool
2002–03manchester unitedarsenal
2003–04arsenalchelsea
2004–05chelseaarsenal
2005–06chelseamanchester united
2006–07manchester unitedchelsea
2007–08manchester unitedchelsea
2008–09manchester unitedliverpool
2009–10chelseamanchester united
2010–11manchester unitedchelsea
2011–12manchester citymanchester united
2012–13manchester unitedmanchester city
2013–14manchester cityliverpool
2014–15chelseamanchester city
  1.  Manchester United mabingwa mara 13
  2. Chelsea mabingwa mara 4
  3. Arsenal mabingwa mara mara 3
  4. Manchester City mara 2
  5. Blackburn Rovers  mara 1

Toa maoni yako juu ya Chelsea Yavunja Rekodi Ligi Kuu Uingereza 2015 kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply