Dereva Taxi na Abiria wa Kike

0
4420

Mwanamke aliingia kwnye teksi akitaka huduma akiwa uchi kama alivyozaliwa!

Dereva akawa anamshangaa,

Mwanamke: hujawahi kuona uchi au!

Dereva: Ninachoshangaa si uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?

Toa maoni yako juu ya Dereva Taxi na Abiria wa Kike kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here