Je wajua chuo kikuu kongwe kuliko zote duniani?

0
843
Al Karaouine University
Al Karaouine University

Al Karaouine University
Al Karaouine University

Chuo kikuu cha Al-Karaouine kutoka Morocco, Africa ndicho chuo kikongwe kuliko zote duniani. Kimeanzishwa mwaka 859 na mpaka leo inatoa cheti cha digrii.

Chanzo chetu  Guinness Book of World Records.

Toa maoni yako juu ya Je wajua chuo kikuu kongwe kuliko zote duniani? kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here