Je, wajua dini iliyo kubwa kuliko zote duniani?

1
4582
Dini kubwa kuliko zote duniani ni ukristo
Dini kubwa kuliko zote duniani ni ukristo..

Dini kubwa kuliko zote duniani ni ukristo, kuna takriba wakristo bilioni 1.9 mpaka 2.1 duniani. Hii ni sawa na asilimia 29 mpaka 32 ya watu wote wa dunia (Duniani inakadiriwa kuwa na watu bilioni 6.8)

Dini ya pili kwa ukubwa kuliko zote duniani ni uislamu
Dini ya pili kwa ukubwa kuliko zote duniani ni uislamu

Orodha kamili ya dini nne kubwa duniani hii hapa:

JinaIdadiAsilimia
Ukristo1.9 bilioni – 2.1 bilioni29% – 32%
Uislamu1.3 bilioni – 1.57 bilioni19% – 21%
Ubudha500 milioni – 1.5 bilioni7% – 21%
Uhindu950 milioni – 1 bilioni14% – 20%
Jumla4.65 bilioni – 6.17 bilioni68.38% – 90.73%

Oni moja

 1. Ukristo ni dini ya haki siku zote
  Na nidini isio jiusisha na mambo
  Ya miungu Na nidini
  Inayo weza kumuit
  A mungu akasikia
  Nakatenda unacho taka naninasema hivyo
  Kwasababu siwai
  Ona mtu akisema
  Mwanangu anaumwa nimpere
  Ke kwa butha au kwa isram hiyo hapo ira utasikia
  Akisema nimpereke kwa
  Mchungaji akaombewe nakweri akiombewa anapo
  Na ukristo unakeMea majini
  Isramu wanakaribi
  Sha majini nandom
  Aana mtu akishikwa na jini riNamwamuru awe mwisiram maana isram butha na hudu ni majificho ya majini
  Kwahiyo basi

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here