Je wajua harusi za gharama na ghali kuliko zote Duniani?

harusi ghali kuliko zote duniani
Harusi ya kwanza kwa ughali duniani – Vanisha Mittal, na Amit Bhatia iliyogharimu milioni 78 dola za kimarekani
Harusi ghali kuliko zote duniani

Harusi ya David Robert Joseph Beckham na Victoria Adams (kutoka katika kundi la Spice Girls) mwezi wa Julai 1999. ilihudhuriwa na watu zaidi ya 200 lakini walioshududia tukio ni marafiki na ndugu wa karibu wapatao 29 tu. Iliajiri wafanyakazi zaidi ya 400

Katika taarifa yetu hii tutaangalia vitu muhimu katika harusi kama vile Aina na idadi ya waalikwa, chakula, keki, gauni la bibi harusi, vifaa vya muziki na mapambo nk. Kwa matajiri mabilionea mara zote hutawaliwa na manukato ya gharama, walikwa wenye majina, watumbuizaji wa muziki maarufu na vitu kama gauni la bibi harusi la gharama, keki ya gharama nk. Mfano Harusi fulani alialikwa mwanamuziki Shakira kwa ndege binafsi ya kwenda na kurudi nje ya Marekani na kuimba njimbo tatu tu kwa kiasi cha dola za kimarekani milioni 3. Keki kutengenezwa  kwa dola za kimarekani laki 300 na Gauni la harusi kwa dola za kimarekani laki 600 nk.

Hebu tuangalie Harusi kumi za kifahari zaidi duniani:


1.  Harusi inayoongoza kwa gharama duniani hii hapa

  • Harusi ya Vanisha Mittal, na Amit Bhatia imetajwa na gazeti la Forbes kama moja ya harusi 1000 za kitajiri zaidi duniani . Ilifanyika katika hoteli ya nyota tano ya Paris hotel na ilichukua siku tano mfululizo ikipambwa na raha zote zilizotakiwa. Huko Ufaransa. Mwanamuziki maarufu Kylie Minogue ndie alipamba hiyo sherehe iliyogharimu kiasi cha $78 millioni. Harusi zingine za kifahari na ghali hizi hapa
Harusi ghali kuliko zote Duniani
Harusi ya kwanza kwa ughali duniani – Vanisha Mittal, na Amit Bhatia
Jina la MhusikaIlipofanyikaGharama katika dola za kimarekaniMwakaIlisheherekewa kwa sikuWaalikwa na watumbuizaji
Vanisha Mittal, na Amit BhatiaUfaransa78 millioniJune, 20045

2.  Harusi ya pili kwa gharama duniani hii hapa

harus ya pili kwa ughali duniani
harusi ya pili kwa ughali duniani -Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum kiongozi wa Dubai na malkia Salama
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum kiongozi wa Dubai na malkia SalamaDubai44.5 millioni1981720,000

3.  Harusi ya tatu kwa gharama duniani hii hapa

harus ya tatu kwa ughali duniani
Harusi ya tatu kwa ughali duniani ni ya bilionea Andrei Melnichenko wa Urusi na  Aleksandra Kokotovich,
bilionea Andrei Melnichenko wa Urusi na  Aleksandra KokotovichCote D’Azur, France30 millioni2005Christina Aguilera na Whitney Houston

4.  Harusi ya nne kwa gharama duniani hii hapa

Harusi ya nne kwa ughali duniani
Harusi ya nne kwa ughali duniani – Vikram Chatwal ,  na Priya Sachdev
Vikram Chatwal, na Priya Sachdev mwana mitindo na mwigizaji maarufuIndia20 milioni200610600 guest from 26 countries

5.  Harusi ya tano kwa gharama duniani hii hapa (ni kati ya Rooney mshambuliaji wa Manchester United ya Uingereza na Coleen McLoughlin)

Harusi ya tano kwa ughali duniani
Harusi ya tano kwa ughali duniani -Wayne Rooney & Coleen McLoughlin
Wayne Rooney na Coleen McLoughlinPortofino15 millioni2008464

Toa maoni yako juu ya Je wajua harusi za gharama na ghali kuliko zote Duniani? kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply