Je wajua kuzuia ukuta wako wa facebook usitumike vibaya?

0
120
Set privacy setting to restrict others posting-advertising on your wall

Wall yako ni kama ubao wako wa matangazo ambao kama una mtandao mkubwa watu wengine wangependa kuufanya kama sehemu ya kutangazia biashara zao au kusambaza taarifa za uchochezi, kusengenya na kutukana wengfine. Yametokea matukio ya hivi karibuni ya watu kuhujumiwa kwa watu wengine wenye nia mbaya kusambaza picha za ngono kupitia kuta za . ili kuondokana na adha hii, fuatilia hatua hizi za kufanya ili kuzuia ukuta wako wa usitumike vibaya kwa masuala kama ya kusambaza picha za ngono au picha yeyote ambayo hukutaka

Hatua ya kwanza:

Kwenye dirisha la home kushoto kwako upande wa juu chagua au bofya kwa kupeleka kipanya chako kwenye sehemu iliyoandikwa “home”

Hatua ya pili:

Chagua privacy setting na ukurasa kama huu hapa chini utajitokeza

Set privacy setting to restrict others posting-advertising on your wall

Hatua ya tatu:

Chagua editing settings kulia mwa timeline and tagging. Ukurasa kama huu hapa chini utajitokeza

chagua na kubofya custom

Set privacy setting to restrict others posting-advertising on your wall custom

Hatua ya nne:

Chagua only me ili kila atakaye kutag ije kwako tu na ukiipenda picha hiyo isomwe na wenzako ndipo utakapoamua kushare kwenye publicSet privacy setting to restrict others posting-advertising on your wall only me

 

Hatua ya Tano:

Bofya Save change ili ukamilishe zoezi hilo.

Kumbuka unaweza pia kuchagua usitumiwe Tagging kwenye ukuta wako kabisa au ukachagua ukiotumiwa isomwe na marafiki zako tu na sio marafiki wa marafiki.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami

 

Toa maoni yako juu ya Je wajua kuzuia ukuta wako wa facebook usitumike vibaya? kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply