Je wajua Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani?

0
536
Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani
Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani

Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani ni Suhas Gopinath wa India

Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani
Suhas Gopinath: Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani

Suhas Gopinath akiwa na mwanzilishi wa Microsoft (Bill Gates)
Suhas Gopinath akiwa na mwanzilishi wa Microsoft (Bill Gates)

Akiwa na miaka 14, miaka 10 iliyopita alianzisha Globals Inc ambayo ni kafteria ya internet huko Bengaluru, India hakujua kuwa yeye ndiye mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani

Leo hii  Globals ni kampuni kubwa ya mamilioni ya dola za kimarekani yenye ofisi zake nchini  Marekani, India, Kanada, Ujerumani, Italia, Uingereza, Hispania, Austalia, Singapore na Mashariki ya mbali na ina wafanyakazi 100 India na 56 nje ya India

Huyu kijana ameweza kutunukiwa medani ya heshima nyingi lakini moja wapo kubwa ni ile ya kualikwa kwenye baraza la ICT la Benki ya Dunia

Toa maoni yako juu ya Je wajua Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani? kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here