Je, wajua nchi yenye asilimia kubwa ya waislamu?

0
240

Nchi a Yemen, Mauritania na Somalia kwa pamoja ndizo nchi zenye asilimia kubwa ya waislamu duniani. zote kwa pamoja zina asilimia 99.9 ya waislamu katika nchi zao.

Orodha kamili ya nchi 15 zenye asilimia kubwa a waislamu katika nchi zao duniani hii hapa:
1. Yemen 99.9% (65-70% Sunni, 30-35% Shi’a)
2. Mauritania 99.9% (mostly Sunni)
3. Somalia 99.9% (mostly Sunni)
4. Western Sahara 99.8% (mostly Sunni)
5. Maldives 99.33% (mostly Sunni)
6. Oman 99% (mostly Ibadhi)
7. Djibouti +99% (mostly Sunni)
8. Comoros 99% (mostly Sunni)
9. Afghanistan 99% (80% Sunni, 19% Shi’a)
10. Tunisia 99% (mostly Sunni)
11. Algeria 99% (mostly Sunni)
12. Turkey 99% (85% Sunni, 15% Alevis)
13. Morocco 98.7% (mostly Sunni)
14. Niger +98% (95% Sunni)
15. Iran 98% (mostly Shi’a)

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here