Je, wajua nchi yenye asilimia kubwa ya wakristo?

0
103

Nchi yenye asilimia kubwa ya wakristo ni Vatican, Guatemala, Micronesia, Samoa na Panama. Zote kwa pamoja zina asilimia 100 ya wakristo katika nchi zao.

Orodha kamili ya nchi 15 zenye asilimia kubwa ya wakristo hii hapa
1. Vatican City 100% (100% Roman Catholic)
2. Guatemala ~ 100% (55% Roman Catholic and 33% Protestants)
3. Micronesia ~100%
4. Samoa ~100%
5. Panama ~ 100%
6. Romania 99%
7. East Timor 99% (90% Roman Catholic)
8. Bolivia 98.1% (95% Roman Catholic)
9. Venezuela 98% (mostly Roman Catholic)
10. Marshall Islands 97.2%
11. Peru 97.1%
12. Paraguay 96.9% (mostly Roman Catholic)
13. Papua New Guinea 96.4%
14. Kiribati 96%
15. Angola +95%

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here