Nyoka Mrefu Kuliko Wote Duniani

Chatu wa mashariki mwa asia na india ndiye nyoka mrefu kuliko wote duniani

Chatu wa mashariki mwa asia na india ndiye nyoka mrefu kuliko wote duniani

Chatu wa mashariki mwa asia na india ndiye nyoka wa kwanza kwa urefu na wa pili kwa uzito kuliko wote duniani na ameripotiwa kufukia urefu wa futi 32 na uzito wa kilo 158.

ย 

ย 

Eunectes_murinus Anaconda

Anakonda anayepatika kusini mwa bara la Amerika ndiye nyoka wa pili kwa urefu duniani

Anakonda anayepatika kusini mwa bara la Amerika ndiye nyoka wa pili kwa urefu duniani na wa kwanza kwa uzito na anakadiriwa kuwa na futi 27 na uzito wa kilo 227

Kwa maelezo zaidi bonyeza hapaโ€ฆ

Toa maoni yako juu ya Nyoka Mrefu Kuliko Wote Duniani kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply

  1. 0haha aaaaaaaaaaaaaaaaa da noma sana vinatuburudisha sana zaid ya sanaaaaaaaaaaaaaaah :mrgreen: ๐Ÿ‘ฟ ๐Ÿ™„

  2. I seldom leave a response, however after browsing through a bunch of responses on this page Je Wajua nyoka mrefu kuliko wote duniani? | Je wajua. I do have 2 questions for you if it’s allright. Is it only me or do some of the comments appear like they are written by brain dead people? ๐Ÿ˜› And, if you are writing at other sites, I would like to keep up with everything fresh you have to post. Could you list of every one of all your public sites like your twitter feed, Facebook page or linkedin profile?