Jinsi Wanandoa Wanavyoagana Wakati wa Kulala Duniani

0
27830
vichekesho vunja mbavu

Ebu soma huu ujumbe wa kuchekesha

Picha ya kuchekesha sanaKule Marekani mume anapoenda kulala anamwambia mke wake “goodnight baby”

Kule Uingereza mume anapoenda kulala humtakia mke wake usiku mwema kwa kusema “sweet dreams honey”

Kule Australia mume anapoenda kulala humtakia mke wake usiku mwema kwa kusema “goodnight my love”

Huku kwetu mume anapoenda kulala humuuliza mke wake  “umefunga milango yote na madirisha vizuri?”

Toa maoni yako juu ya Jinsi Wanandoa Wanavyoagana Wakati wa Kulala Duniani kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply