Jinsi ya Kucheza Tatu Mzuka Kupitia MPESA, AIRTEL MONEY NA TIGO PESA, 2017

0
0

Namna ya kucheza Tatu Mzuka

Kuna zawadi za kila saa, za kila wiki na shindano la mwisho

Ukiweza linganisha namba tatu zote unashinda mara 200 ya kiasi ulichochezkiwango cha chini ni 500 na cha juu ni 30,000

Namna ya kucheza MPESA

  1. Andika *150*00# bofya kidude cha kupiga simu
  2. Chagua 4: lipa kwa mpesa
  3. Chagua tena 4: number ya kampuni
  4. Weka namba ya kampuni ambayo ni 555111
  5. Weka namba ya kumbukumbu yenye tarakimu tatu tu ambayo ndio namba yako ya bahati
  6. Weka kiasi cha mchezo kati ya 500 hadi 30,000
  7. Weka namba ya siri
  8. Bonyeza 1 kuafiki
  9. Angalia na fuatilia ujumbe mfupi kama umeshinda na maelekezo mengine

?

Toa maoni yako juu ya Jinsi ya Kucheza Tatu Mzuka Kupitia MPESA, AIRTEL MONEY NA TIGO PESA, 2017 kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply