Kichekesho cha mapenzi

0
7591

Jamaa moja alikuwa akifanya mapenzi na binti wa kijijini. Mbinti akagundua kuwa jamaa anafanya mapenzi naye bila ya kutumia kondom alimuuliza

Msichana wa kijijini:  naona unafanya mapenzi bila kondom?

Jamaa: Ndiyo

Msichana wa kijijini: naamini huna ukwimi?

Jamaa akajibu na kuuliza: 

Jamaa: Ndiyo sina ukwimi; kwa nini umeniuliza hivyo?

Msichana wa kijijini: niliogopa tu nisije nikaambukizwa tena

Jamaa kusikia hivyo akazimia hapo hapo

Toa maoni yako juu ya Kichekesho cha mapenzi kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply