Kichekesho cha Maprofesa wa Tanzania

0
8173

Kuna maprofesa 40 walipanda AIR ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita tangazo kama ifuatavyo:

Ndugu wasafiri wote, ndege unayotarajia kusafiri nayo imetengenezwa na wanafunzi wa Kitanzania.

Baada ya tangazo maprofesa wote waliteremka isipokuwa mmoja alibaki kwenye kiti chake

Walipomuuliza ni kwanini hakuondoka akajibu kwa haraka na furaha kuwa:

Kama ndege hii imetengenezwa na watanzania, hata kuwaka haitawaka!

Toa maoni yako juu ya Kichekesho cha Maprofesa wa Tanzania kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply