Kichekesho cha Mlevi Mmoja na Mchungaji

2
11049

Kulikuwa na harambee ya kujengea ukuta makaburi ya kanisa moja

Waumini wakaambiwa watoe michango ya pesa ili wazungushie ukuta eneo la makaburi hayo.
Mchungaji akauliza kuna mtu mwenye swali?
Mlevi naye akamuuliza mchungaji

“Je kuna Marehemu yoyote aliyewahi kutoroka? Kama hakuna, kwa nini basi tujengee ukuta?
Mchungaji kimyaaaaa!

Toa maoni yako juu ya Kichekesho cha Mlevi Mmoja na Mchungaji kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

2 COMMENTS

Leave a Reply