Kichekesho cha Mlevi Mmoja

3
12146

Mlevi mmoja alianguka toka kwenye ghorofa, fasta fasta watu wakamfuata kumsaidia, wakamuuliza VP IMEKUAJE?
Mlevi akajibu:
”HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASAHIVI…”

 

Toa maoni yako juu ya Kichekesho cha Mlevi Mmoja kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

3 COMMENTS

Leave a Reply