Kichekesho cha Mlevi na Mchungaji Kanisani

0
2701

Waumini waliambiwa watoe michango ili wazungushie ukuta eneo la makaburi.
Mchungaji akauliza kuna mtu ana swali?
Mlevi akauliza “Je kuna Marehemu yoyote aliyewahi kutoroka? Kama hakuna, ukuta wa nini sasa? Au ndio ufisadi hadi kwenye makaburi…?
Mchungaji kimyaaaaa!

……………………………………………………………………………

Toa maoni yako juu ya Kichekesho cha Mlevi na Mchungaji Kanisani kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply