Kichekesho cha Mume Mlevi na Mke Wake

0
12813

Mke akamuuliza swali mume wake ambaye ni mlevi sana

“Honey, kati ya pombe na mimi, mkeo ni kipi unakidhamini”

Mume mlevi akajibu

“Wewe acha kutania, kuna kitu duniani cha kufananisha na pombe?”

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here