Kichekesho: mchagga na pesa

0
3648

kikatuni cha kuchekesha sana

 

Mchaga mmoja alipata ajali alipozinduka pale hospitali akauliza “nipo wapi hapa?”

Nesi akajibu,”umepata ajali, hapa upo hospitali. Bahati mbaya umekatika mkono.”

Mchaga Mgonjwa: Na je saa yangu ipo wapi ya Rolex?

Nesi: Ipo mzee, Mkeo na watoto wapo hapa kukufariji.

Mchaga Mgonjwa: Yeuwi… Wamefunga duka?

Toa maoni yako juu ya Kichekesho: mchagga na pesa kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply