Kikwete Akwepa Kujibu Swali Mbele ya Obama

0
1771
Jakaya Mrisho Kikwete Akwepa Kujibu Swali Mbele ya Barack Obama
Jakaya Mrisho Kikwete Akwepa Kujibu Swali Mbele ya Barack Obama
Jakaya Mrisho Kikwete Akwepa Kujibu Swali Mbele ya Barack Obama
Jakaya Mrisho Kikwete Akwepa Kujibu Swali Mbele ya Barack Obama

Kwa ufupi ziara hii imelenga masuala makubwa mawili ya kidiplomasia

  1. Kuimarisha masuala ya demokrasia
  2. Kuimarisha mahusiano ya kiuchumi

Barack Obama atakaa siku mbili kati ya tarehe 1 na 2 Julai 2013 na kufanya kutembelewa na marais wawili wa Marekani na wote kwenye utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete

Kati ya mategemeo mengi kwa watanzania  na dunia ni kipindi cha maswali na majibu ambayo waandishi wa habari ndani na nje ya waliwauliza viongozi hao maswali

Moja ya swali alilloulizwa ni Usalama wa Kongo na ujasusi wa Marekani kwenye mawasiliano ya dunia huku Kikwete akiulizwa zaidi kuhusu afisa aliyeshitakia huko Washington DC  kwa ajira ya binadamu kwa nijia haramu na kwamba afisa huyo bado ni mshauri wa Rais

Swali:

A Question from Mss Christine from BBC News to President Kikwete during the Obama’s press conference at Ikulu in Dar es Salaam yesterday

Part A
“President Kikwete, Did you discuss with president Obama the Tanzanian Diplomat who is stationed in Washington DC and fined a million dollars for holding a woman against her will as domestic servant.

Part B
Is this person still an adviser to you and

Part C
is this issue in anyway undercut your ability to fight human trafficking in you great country?”

Answers/Response from the President Kikwete

“….I am aware of a situation in Washington that involve one of our diplomats…. This incidence involves a young sister of the wife of this diplomat. He took her with them to help her getting education and support her make it in life. Then I think there was a conflict within the family, and then this young lady accuse the brother in law and the sister of using her for cheap labour. The court decided 1 million fine, an amount which for a Tanzanian there is no way that he can afford to pay, even the president.. we are here the presidents.. when I retire my retirement benefits can not pay that because we get far less. Then I think there was reconsideration for this gentleman to pay 175,000 dollars which is far as I know has already been paid; so that matter has been put to rest”

Obama na Kikwete Salma, Kikwete Obama na Michele

 

Toa maoni yako juu ya Kikwete Akwepa Kujibu Swali Mbele ya Obama kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply