Edward Lowassa Sasa Rasmi , Mgombea Urais Kupitia UKAWA Atapokelewa Rasmi Tarehe 28 Julai 2015. Viongozi wote wa UKAWA Wabariki.

Kesho Tarehe 28 Julai 2015 saa nne asubuhi Edward Ngoyai Lowassa atapokelewa rasmi na viongozi wote wa UKAWA, Mwenyekiti wa Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahimu Harun Lipumba na Mwenyekiti wa NLD, Dk Emmanuel Makaidi. Katika mkutano huo atakabidhi rasmi kadi yake ya zamani ya na kupewa kadi mpya ya .

Katika mkutano huo ambao pia wamealikwa waandishi wa habari atatangazwa rasmi kama mgombea urais kupitia UKAWA na shutuma zote za zinazomkabili zitawekwa wazi.

Toa maoni yako juu ya Lowassa Rasmi CHADEMA, Mgombea Urais UKAWA Mambo Yote Kesho kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

2 MAONI

  1. Brave Man! other candidates who really fighting ciriously against the rights of the citizens for the benefit of the Nation should follow this wonderful example.

Leave a Reply