Luis Suarez Kuhamia Arsenal: Ni Kipenzi na Chaguo la Wenga

0
424
Luis Suarez kuhamia Arsenal

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenga alijitahidi tangu 2013 kuwania kumsajili Luis Suarez mshambulkiaji wa timu ya Taifa ya Uruguay bila mafanikio. Wenga alilipa dau la Uro mil 40 ambazo hazikutosha, mwaka jana akajaribu tena na badala yake Suarez akasajiliwa Liverpool ambako aling’ara kwenye Ligi ya Uingereza na kuwa mfungaji bora. Suarez baada ya msimu mmoja na Liverpool wa 2014 alinunuliwa kwa dau la Uro mil 75 kwenda Barcelona mbako hata hivyo tangua atoke kwenye kifungo cha FIFA aliyopata akiichezea timu yake ya Uruguay kule Brazil, Suarez ameifungia Barcelona magoli 5 tu na wataalamu wa uchumi wanaona hiyo haiendani na kiasi cha bei aliyonunuliwa nayo.

Kuna tetesi kuwa Barcelona wana mpango wa kumuuza kabla hajateremka bei na Wenga bado yuko tayari kumnunua winga huyo

Toa maoni yako juu ya Luis Suarez Kuhamia Arsenal: Ni Kipenzi na Chaguo la Wenga kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply