Majanga Makuu Tanzania Mauaji, Mabomu, Tindikali, Wizi

0
928

Tanzania kimenuka, sasa kila kukicha kuna uhalifu wa aidha ujambazi, ubakaji, wizi, mabomu, risasi, tindikali, kesi za kusingizia, migigoro ya Ardhi, mizozo ya nchi jirani na kadhalika. Hii imeendelea kuichafua Tanzania katika medani za kimataifa na hivyo kuweza kuadhiri kwa kiwangi kikubwa Utalii ambao ndio chanzo cha pili cha mapato ya nchi.

Hebu tuangalie hizi hapa

Bilionea wa Madini Auawa Kinyama Moshi

Bilionea wa Madini Auawa Kinyama MoshiMfanyabiashara tajiri wa Mirerani na Jijini Arusha, Erasto Msuya, ameuawa kwa kupigwa risasi zaidi ya 20 kwa kutumia bunduki aina ya Sub Machine Gun (SMG), jana mchana.

Erasto anayemiliki vitega uchumi kadhaa na anayeaminika kuwa miongoni mwa wafanyabiashara wa Mirerani wanaoongoza kwa utajiri,

Soma zaidi Mwananchi

 

Mhadhiri Chuo Kikuu Dar Auawa Kinyama

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camillius Wambura alisema jana kuwa mauaji ya Mhadhiri huyo Msaidizi katika Idara ya Uhandisi na Teknolojia, Patrick Rweyongeza (32) yalitokea juzi saa saba mchana maeneo ya Magomeni Tanesco, Dar es Salaam, wakati marehemu alipokuwa ndani ya gari lake akielekea katikati ya jiji.

“Alipofika maeneo hayo alivamiwa na watu waliokuwa kwenye pikipiki aina ya Boxer ambao walimpiga risasi ya kifua upande wa kulia kisha kutokomea.”

“Baada ya kupigwa risasi alipelekwa Muhimbili lakini kabla ya kuanza kupatiwa matibabu alifariki dunia,” alisema Kamanda Wambura.

Alisema hakuna mtu yoyote aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo. “…Tunaendelea na upelelezi kufahamu tukio hilo lililofanywa na watu hao kama ni la ujambazi au kisasi.”

Akizungumza nyumbani kwa mjomba wa marehemu Mbweni, Dar es Salaam jana, Mkuu wa Idara ya Uhandisi, Dk John Mahunza alisema Rweyongeza alikutwa na mkasa huo baada ya kutoka benki kuchukua fedha kwa ajili ya shughuli za ofisi.

“Baada ya kuchukua fedha hizo Ubungo, alipanda gari kuelekea Magomeni na kufika maeneo ya Tanesco, walimzingira na kumlazimisha kufungua mlango, lakini aligoma na wakampiga risasi,” alisema.

Soma zaidi: Mwanachi

Wazungu Wamwagiwa Tindikali Zanzibar

Wazungu Wamwagiwa Tindikali Zanzibar2WALIMU wawili wazungu wa kujitolea, raia wa Uingereza, wamejeruhiwa kwa kumwagiwa tindikali, katika maeneo ya Mji Mkongwe, Shangani, Zanzibar. Walimu hao, Kate Gee (18) na Kristie Trup (18), walivamiwa na kujeruhiwa juzi saa moja usiku, wakienda kupata chakula cha jioni. Haijajulikana bado wahalifu hao walitaka nini au walitumwa na nani. Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo cha uhalifu huo

 

 

Mwingine Aporwa Milioni 40 Mchana

Majambazi wanne walimvamia mfanyabiashara wa vifaa vya magari katika makutano ya mitaa ya Livingstone na Kiungani na kumuibia zaidi ya Shs. Milioni 40. Mfanyabiashara huyo aliyejulikana kwa jina moja la Bupedra alikuwa akizipeleka benki pesa hizo akiwa na dereva wake kwenye gari aina ya Hiace. Polisi wa mkoa maalum wa Ilala Marieta Minagi amedhibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo amedai majambazi walijua kila kitu na hivyo kuhisi kupangwa na watu wa karibu wa mfanyabiashara huyo. Ameendelea kudai kuwa polisi wanamshikilia dereva wa gari kwa upelelezi zaidi

Kutoka Mitandao Mingine

majanga : mhadhiri udsm auawa kinyama dar,wazungu … – pamoja
http://pamojapure.blogspot.com/2013/08/majanga-mhadhiri-udsm-auawa-kinyama.html
saa 3 zilizopita MAJANGA : MHADHIRI UDSM AUAWA KINYAMA DAR,WAZUNGU WAMWAGIWA TINDIKALI Z’BAR,JK ASEMA TUKIO LIMEITIA AIBU NCHI.

MAJANGA : Mhadhiri UDSM auawa kinyama Dar,Wazungu …
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/MAJANGA—Mhadhiri-UDSM-auawa-kinyama-Dar-Wazungu-wamwagiwa/-/1597296/1941472/-/12gfbb5/-/index.html
saa 4 zilizopita MAJANGA : Mhadhiri UDSM auawa kinyama Dar,Wazungu wamwagiwa tindikali Z’bar,JK asema tukio limeitia aibu nchi. Share bookmark Print 

MAJANGA : Mhadhiri UDSM auawa kinyama Dar,Wazungu …
http://j2wisdom.blogspot.com/2013/08/majanga-mhadhiri-udsm-auawa-kinyama.html
saa 3 zilizopita MAJANGA : Mhadhiri UDSM auawa kinyama Dar,Wazungu wamwagiwa tindikali Z’bar,JK asema tukio limeitia aibu nchi. Dar/Zanzibar. Mauaji 

News Alert: Zanzibar: Watalii wa kizungu wamwagiwa tindikali …
http://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/501001-zanzibar-watalii-wa-kizungu-wamwagiwa-tindikali-10.html
saa 22 zilizopita Default Re: Breaking News : WAZUNGU wawili WATALII wamwagiwa TINDIKALI Zanzibar. Quote By nnyakyala View Post. Polisi wasihangaike 

Magazetini: Magazeti ya Tanzania – Tanzania Newspapers
http://www.magazetini.com/
Majanga : Mhadhiri UDSM auawa kinyama Dar,Wazungu wamwagiwa tindikali Z’ bar,JK asema tukio limeitia aibu nchi · Majanga : Mhadhiri UDSM auawa 

bilionea auawa kwa risasi 20 mjini moshi mchana … – sufianimafoto
http://www.sufianimafoto.com/2013/08/bilionea-wa-auawa-kwa-risasi-20-mjini.html
siku 1 iliyopita Askari polisi wa Wilaya ya Hai wakianda mwili wa mfanyabiashara wa madini Erasito Msuya aliyeuawa kwa kupigwa risasi katika eneo la 

Mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite mkoani Arusha …
http://www.tanzaniampya.blogspot.com/2013/08/mfanyabiashara-maarufu-wa-madini-ya.html
siku 1 iliyopita skip to main | skip to sidebar. HomeMfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite mkoani Arusha auawa kwa kupiga risasi 

Mfanyabiashara wa madini auawa kwa risasi
http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/15009-mfanyabiashara-wa-madini-auawa-kwa-risasi
siku 1 iliyopita MFANYABIASHARA maarufu wa madini Jijini Arusha Erasto Msuya amepigwa risasi na kufa papo hapo katika eneo jirani na Uwanja wa 

majonzi:- mfanyabiashara wa madini arusha auawa kwa … – g sengo
http://gsengo.blogspot.com/2013/08/majonzi-mfanyabiashara-wa-madini-arusha.html%3FshowComment%3D1375956099733
siku 2 zilizopita Habari zilizotufikia hivi punde Kutoka chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa mmoja wa Wafanyabiasha wakubwa wa Madini jijini Arusha 

mhadhiri wa chuo kikuu dar es salaam auawa kwa … – EDDY BLOG
http://eddymoblaze.blogspot.com/2013/08/mhadhiri-wa-chuo-kikuu-dar-es-salaam.html
siku 1 iliyopita Patrick Rweyongeza, Mhadhiri (College of Engeneering) UDSM, ameuawa jana kwa kupigwa na risasi. Tukio limetokea majira ya mchana 

Mhadhiri UDSM auawa kwa risasi
http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/15071-mhadhiri-udsm-auawa-kwa-risasi
saa 19 zilizopita Mhadhiri UDSM auawa kwa risasi MHADHIRI wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Uhandisi (COeT) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 

Mhadhiri UDSM auawa kwa risasi | Magazeti ya Tanzania …
http://www.magazetini.com/news/mhadhiri-udsm-auawa-kwa-risasi
saa 18 zilizopita Mhadhiri UDSM auawa kwa risasi. MHADHIRI wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Uhandisi (COeT) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 

majanga : mhadhiri udsm auawa kinyama dar,wazungu … – pamoja
http://pamojapure.blogspot.com/2013/08/majanga-mhadhiri-udsm-auawa-kinyama.html
saa 3 zilizopita MAJANGA : MHADHIRI UDSM AUAWA KINYAMA DAR,WAZUNGU Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kuuawa kwa 

NEWS ALERT: Mhadhiri wa chuo kikuu DSM, College of …
http://www.tanzaniampya.blogspot.com/2013/08/news-alert-mhadhiri-wa-chuo-kikuu-dsm.html
siku 1 iliyopita skip to main | skip to sidebar. HomeNEWS ALERT: Mhadhiri wa chuo kikuu DSM, College of engineering auawa kwa risasi 

VIJIMAMBO: Mhasibu Simba aporwa mamilioni
http://lukemusicfactory.blogspot.com/2012/12/mhasibu-simba-aporwa-mamilioni.html
31 Des 2012 Mhasibu Simba aporwa mamilioni. Ni mgawo wa mapato mechi dhidi ya Tusker Ashikiliwa polisi. Zaidi ya Sh. milioni 10 za klabu ya Simba 

Mtawa apigwa risasi, aporwa Sh20 mil – Kitaifa – mwananchi.co.tz
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1723184/-/128no63/-/index.html
Mtawa apigwa risasi, aporwa Sh20 mil habari zinasema ni zaidi ya Sh20 milioni zilizochukuliwa benki kwa ajili ya malipo na shughuli mbalimbali za shule  

 

 

Toa maoni yako juu ya Majanga Makuu Tanzania Mauaji, Mabomu, Tindikali, Wizi kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply