Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kupata Mkopo 2012/2013

2
2314

Yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa kupata mkopo kwa mwaka wa masomo wa 2012/2013. Majina mengine hayakupatikana kwa muda muafaka kwa sababu ya itilafu iliyotokea katika tovuti ya heslb.go.tz
Bofya kiunganishi hapa chini ili kuangalia jina lako, Majina yamepangwa kulingana na jina la chuo husika

Tangazo Muhimu Kwa Wale Wanafunzi 659 Wenye Matatizo Mbalimbali Wakati Wa Ujazaji Wa Fomu Za Mikopo

-Bodi imewapa muda wa siku 14 kuanzia tarehe 18, Septemba hadi 1, Octoba kusahihisha makosa yao kwa kuwasilisha taarifa husika Bodi ya Mikopo

CBofya hapa kuona majina ya fomu ambazo hazikukamilika

Imetolewa na:

Mkurugenzi MtendajiHigher Education Students’ Loans Board

Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya JuuSLP. 76068

DAR ES SALAAM.

Bofya Hapa Kuona Majina Mengine ya Wenye Matatizo
1.WALIOPATA MKOPO LAKINI WANAHITAJIKA KUUBAINISHA VIZURI

2.WAOMBAJI WENYE MAPUNGUFU KWENYE JINA

2 MAONI

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here