Mawaziri Wakuu Wawili Kujiunga na CHADEMA

0
257
Haijawahi kutokea sio tu Tanzania bali hata Afrika nzima kwa watu waliohuduma katika ngazi za juu kabisa serikalini na katika chama tawala kujiunga na upinzani

Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye naye atangaza kujiunga na UKAWA basi hii itakuwa imekiua CCM kwa knockout

Toa maoni yako juu ya Mawaziri Wakuu Wawili Kujiunga na CHADEMA kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply