Meseji ya kichekesho cha mgonjwa

Yani leo tena naumwa kwelli nipo hoi siwezi hata kula. Hasubuhi yenyewe nimekula tu chapat 9 maandaz 7

viazi vitam

wali plet 7 af kiporo,

tambi coz czipend sana nimekula plet 4 tu

uji wa mchele

uji wa ulezi

uji wa ngano

mihogo ya kuchemsha

kulkua na kiporo cha makande ndo nimejazia jazia tu ivo ivo kigonjwa gonjwa na hayo magimbi

na maboflo 6 na hyo mikate ya kumimina....saiv ndo twatoka kwa dokta kuchukua dawa ya kuleta hamu ya kula...nimekonda kweli.

kaniandikia dozi hii

Eti nitume ujumbe huu kwa watu watano bila kuondoa hata nukta moja nami nitapona

Sambasa basi kwa watu watano tu kama unataka nipone

Toa maoni yako juu ya Meseji ya kichekesho cha mgonjwa kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Leave a Reply