Meseji za vichekesho – Mkinga na Duka la Jumla

1
10767
Meseji za Vichekesho Duka la mkinga la jumla

Leo nimepokea meseji kwenye simu nikacheka sana mbavu sina na kufanya siku yangu iwe nzuri. Nilipokea  meseji ya vichekesho kuhusu mkinga mmoja na duka la jumla nami nikaiweka hapa ilia nawe ufurahi na kufanya siku yako iwe nzuri.

WAKINGA KWA BIASHARA! Ona tangazo la biashara kwenye duka la Sanga;
Pata sukari, mayai, baiskeli, kanga, pilau, walikuku, sambusa, tairi za trekta, madaftari,bia aina zote, petroli, dizeli, matunda, socket za umeme, nazi, vitumbua, mbolea, mitumba grade1, supu ya utumbo na kongoro, mabati, vocha za TIGO, Voda na Airtel, mtego wa panya, pembejeo, rim papers original, makabati ya nguo,oil chafu, computer, simu, pochi, juice na mbogamboga, mbao, jiki, mahindiya kuchoma, bajaji, cement, sufuria, leso, vyumba vya wageni vyenye air condition, net za mbu chakavu, viti, karanga, Sumu ya panya, chupi,  bangili, bahasha nk.

Toa maoni yako juu ya Meseji za vichekesho – Mkinga na Duka la Jumla kwa kutumia nafasi hapo chini ilipoandikwa ACHA MAONI

Oni moja

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here