Mh Edward Lowassa Ndani ya Dala Dala Gongo la mboto – Chanika

0
1000
Mh Edward Ngoyai Lowassa Akisafiri kwa Daladala Leo 24 Agosti 2015 Kuangalia Kero za Wananchi

Mwanzoni nilidhani ni Uongo kumbe ni kweli. Haya ni majibu ya mwanzo tu ya CCM jangwani jana ya akina Mkapa, Makongoro, Mwinyi, Nape, Warioba na wengineo

Mh Edward Ngoyai Lowassa Akisafiri kwa Daladala Leo 24 Agosti 2015 Gongolamboto – Chanika ili kuhakikisha kuwa yeye ni mzima na anaweza fanya lolote kwa ajili ya walalahoi

ACHA MAONI

Please enter your comment!
Please enter your name here